Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Sijui ni kwanini ila Mimi nikimwona mwanamke mwembana awe mrefu wa wastani Akili yangu inaanza kukumbwa na dhoruba na hisia zinaanza kutawala!sijawahi kuvutiwa na chura! Bwawa lenyewe sina nitawafugia wapi!![emoji2] sijawahi kuwachoka wanawake wembamba hasa ndio ugonjwa wangu!kila mtu na style yake!hongera sana wanawake wembamba jikubalini sisi pia tunawakubali sana!chura uchafu tu