Mwanaume mwenye akili kidogo humuona mwanamke kuwa ndio chanzo cha mafanikio yake,tena husema kuwa bila mke wangu nisingefika hapa nilipo na wala nisingepata mafanikio haya niliyo...
Hiki kitu kinaniudhi na bahati mbaya zaidi sasa sijui kila mwanamke anacho.....??
Ni huu ugonjwa wa kununa na kususa kwa jambo doogo.....
Mtu unaweza kununiwa hata mwezi mzima, mpaka ukahisi...
Katika pita pita zangu nikasikia hizi habari eti kuwa wanawake wengi huua waume zao ili warithi mali na utajiri wa marehemu.
Hili si jambo geni vichwani mwa watu labda wale watoto wanaokua ila...
Salaam wana MMU
Wife ana ujauzito wa miezi 7,sasa Leo kaenda clinic kwa Mara nyingine kuchek maendeleo ya ujauzito wake kapewa huduma zote,ilipofika kipengele cha kumpima HIV wakamkatalia eti...
*KUNA AINA 6 ZA MAHABA YA KUIGIZA[emoji116][emoji116][emoji13][emoji13]*
*1. GEOGRAPHICAL Location, spartial*[emoji44][emoji44]
Utasikia, hapo hapo, chini kidogo,
nilambe shingoni na masikioni...
Jambo...!
Kuna ule wakati unakuwa unampenda mtu na ndio penzi lipo moto...halafu mara gafla paap anakuacha bila kukuambia.
Unabaki haujui sababu wala kosa. Unakaa unaanza kuhesabu makosa...
Unakomaa na kazi kwa ajili ya Familia yako,lakini mwisho wa siku inakua ni maumivu tu
Safari za mikoani wiki mbili kila mwezi na unamke umemuacha nyumbani unakua unatuma pesa na unapata...
Babu yangu ni mfugaji anaye ishi kando kando ya ziwa Victoria na sjui ni kwanini Babu aliamua kuwa mfugaji kuliko kuwa mvuvi wa samaki wanao patikana kwa wingi ziwani , naona hilo lisinisumbue...
Wana JF,
Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa...
wadau! habari zenu.
swali ndio hilo wakuu, maana najiona nakosea sana lakini nahisi kama nakosa suluu kwa hili swala. yani napenda sana migegedo kwa wiki naweza nikagegeda hata mara 5 hadi muda...
“The Ten Most Dangerous Mistakes YOU Probably Make With Women— And What To Do About It...”
Here Are The Top Ten Reasons Why Men Fail With Women—And How To Make Sure YOU Avoid Every One Of These...
Nawasalimu wote jf,
Kwa sasa nimeamua nimpate mwenzangu wa kumaliza naye Sehemu ilobaki ya kula na kuvuta hewa(maisha), lakini katika pilika pilika zangu nimebahatika kukutana na wadada kutoka...
Rafiki yangu analalamika....,
Ndoa yake na mkewe haina muda mrefu sana , wote wana toka katika familia ya kikristu wa dhehebu la Kiroma na ndipo walipofungia ndoa yao.
Mungu kawajalia watoto...
Kwa heshima ya kipekee na ndani ya moyo wangu,
Kwa mara nyingine Leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa waanzilishi wa JF. Kwangu mimi imenitendea mambo mengi kupitia watu wake.
Mbali na...
Habari kwenu wote wadau wa sekta hii
Moja kwa moja kwenye mada nimeamin mapenzi upande mmoja ni furaha na upande wa pili wa shilingi ni karaha. Weekend hii tumepoteza kijana mwenzetu mchapakai na...
Limekuwa ni suala la kawaida katika mahusiano, mapenzi na urafiki miaka hii wanawake kulalamika kuwa hakuna wanaume. wamebaki watu jinsia ya kiume n.k
Dunia ya sasa imebadilika sana. si dunia ya...
Mwenzenu yamenikuta hapa nilipo sijui nifanyeje.
Jamaa amejua kuwa natembea na mke wake.
Baada ya kugundua amenikanya tu.
Ila sina amani hata kdg. Mana jamaa ananijua na anajua ninapoishi.
Ila...
Habari zenu wanajf;
Niende moja kwa moja, wakati wife kasafiri nilitafuta kamchepuko na nikatumia mipira miwili, mmoja nkarudi nao home kwa maana tulkuwa na ahadi ya kukutana tena... Daaah...