Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Guys Kama kuna mwanamke ana group la damu lenye -veRh naomb ani pm.tupo wachache.
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari za Juma moc Hivi ckuizi kunamapenzi ya dhati kweli?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natumai marafiki zangu nyote mko salama na pia hatuna budi kumshukuru Muumba wetu ambae ndo muweza wa yote. Katika kipindi chote cha maisha tunayoishi tunakutana na mitihani ambayo wengi wao...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Hello Jamani napenda wanawake wenye maumbo haya alafu wana kifu kikubwa basi nikiwaona Roho Yangu inatuliaaa
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Kama kweli unampenda, furaha yake itakuwa furaha yako, ila kama unampenda kama kifaa kwa manufaa/furaha yako basi kuondoka kwake kutakufanya umtakie mabaya Ni kweli utaumia, ni kweli...
14 Reactions
69 Replies
6K Views
Habari ya jioni wazee wenzangu...... X wangu zmeharibika mimba 2 mpaka sasa,hizi siku amekuwa MTU wa lawama sana Hataki nimuulize kuhusu mimba anakuwa mkali, Nifanyeje ili awe sawa? Kila kheri
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari zenu comrades.. Mimi ni kijana mwenye miaka 25 ni mwajiliwa serikalini,natafuta mke awe na miaka kuanzia 18 hadi 28 ,nipo serious mwanye kuhitaje naomba aje PM sichagui Dini wala kabila
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sijui ni pepo gani amelikumba taifa letu. Unakuta wazazi wengi wanatumia kuwabusu mdomoni watoto wao kama njia ya kuwaonesha upendo (adoration), lakini nadhani hii imepitiliza kwa watoto kuzoeshwa...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu.. Sifa awe anaishi Dar au Zanzibar,.. Urafiki wetu utakuwa wa kufa na kuzikana (sizungumzii mapenzi). Kwa alie tayari...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Yaani wamebanwa kupiga dili huko maofisini sasa wamehamia kwenye harusi za watu. Kwenye kufatilia kila kitu utakuta yupo si kwa lengo la kusaidia bali kupiga dili zake. Yaani kwenye vikao vya...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nakumbuka miaka ya nyuma kuwa mwanaume ilikuwa ni process ndefu sana.huamki tu siku moja ukawa mwanaune.anyway unaweza zaliwa mtoto wa kiume.lakini usiwe mwanaume. Ilikuwa tukienda club,disco n.k...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, alinipigia simu Mara kadhaa sikuwahi kupokea, na kutuma text zisizojibiwa, sijawah kumcare ila binti anamapenz ya kwel.muda mwingi ameupoteza kwangu na alikuwa akinipa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
KUTHIBITISHA KAMA WEWE KIDUME,UNAPIGA KAZI INABIDI UMLE SHANGAZI YA MKEO MTARAJIWA KWANZA Awali ya yote chukua simu yako nenda google. type east africa map. wakikuletea hiyo tafuta Ilipo Uganda...
17 Reactions
92 Replies
18K Views
Huyu mwana JF ananiumiza akili sana.
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Hizi ni dalili za watu walioumizwa 1.Kumrudia Mungu:usione kila kijana anayeachwa anatumia hadi maandiko matakatifu ,kumbe kaachwa na aliyempenda kwa dhati kwahiyo anarudi kuishi kwa imani kwamba...
11 Reactions
53 Replies
5K Views
Umeniota ninini? Mbona umenikumbuka asubuh asubuh? Ujumbe umetoka kwa mdada Ninaemjua nimteja wangu ninae muuzia bidhaa za dukani. Ajabu mimi sijamtumia sms yyote! Sasa wakuu nisaidien nimjibu vip?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mwenzenu naugulia jereha la bega hapa!!
1 Reactions
98 Replies
10K Views
Kwanini inafaa mpenzi wako akawa kwanza rafiki yako? AMANI ya kweli katika uhusiano katu haiwezi kupatikana ikiwa wahusika hawajafahamu wanatakiwa kuishi katika mtindo upi wa maisha. Kila mmoja...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapa duniani kweli watu tumeumbwa na tabia tofauti tofauti lakini nimegundua kuna wanawake hawajui kuachana na mpenzi wake hata kama uhusiano ulivunjika miaka 5 iliyopita Kuna mwanamke hata kama...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za mida hii wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 24 Nipo chuo nasomea masomo ya afya Mwaka wa tatu ambao ni wa mwisho. Katika mawazo yangu ninawaza kuoa mwanamke mara tu nitakapo maliza masomo...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…