Nimepoteza hamu kabisa

Nimepoteza hamu kabisa

Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
Kwani mkitongozwa hua stimu zinapanda hapo hapo ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom