Akinadada wa JF acheni hizo tabia

Akinadada wa JF acheni hizo tabia

narumuk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
2,963
Reaction score
3,597
Jana katika uzi huu Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu mwana mama Raynavero alilalamika sana na kipenzi changu Shunie kawaka si kawaida. Katika kutafuta ukweli nimegundua kuwa hawa dada zetu hasa masupastaa wa JF wanatuchanganya sie wanaume wa JF.

Utakuta mwanamama ana madanga hata 10, huu si uungwana kabisa ni unyama. Kwa nini usitulie na mmoja? Mbona sie tukihanja na tukipata anayetukubali tunaishi na huyo huyo, mna nini ndugu zetu.

Usisahau hapa JF ni sawa na mtaa mmoja. Mnatushushia hadhi tunajiringishia kuwa huyu wangu kumbe.... Si utafute mitandao mingine? Nipo tayari kuleta jedwali la binti na madanga yake na ikibidi na picha.

Nina imani kuanzia leo hii tabia itakoma.
 
Wanawake wa mtandao wana mitandao mingi hivyo ukiamu kuwa nao jiandae kisaikolojia
 
Bado unaendelea kutafuta wa kuku..... leo nawaumbua mnatunyima raha tukiwa na vidume wenzetu bwana
Huna lolote kuwa mwanaume kwasababu bado upo katikati ila kama unaona wanawake wanafaidi sana kuwa mwanamke
 
Ingekuwa poa kabisa ukitupia na evidence kuongeza radha ya stori yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee baba usiwe serious sana na jf(mitandao)

Watu humu wapo kwa ajili ya kurefresh vichwa tu ili siku ziende.

Wewe upo NAMTUMBO na mupenz wa jf yupo NGARA tena mmejuana kwa fake id,fake pic,fake life style bado uko serious tu

Humu ni jf kunawatu wanafake adi JINSIA so usiwe serious sana

Usije jiona mjanja kumbe zile hela za vocha unatuma kwa MWANAUME mwenzio
 
hii ni asubuhi news
111510.jpg
 
Back
Top Bottom