Wanawake ninawaomba mtuambie ukweli katika hili

Wanawake ninawaomba mtuambie ukweli katika hili

Wizzdude

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
234
Reaction score
405
Habari za siku nyingi wanajamvi!

Leo nimeona niulize hili swali mahususi kwa wanawake!

Kwa wale wanawake ambao wanaume zao wanakaa mbal kikazi nikimaanisha miezi3 na zaidi au walio nje ya nchi!

Hua mnatumia njia gani kujituliza pale mnapowamis waume zenu???
 
Kila mtu anakufa kivyake, wengine wana-masturbate, wengine ndo michepuko inawashughulikia, wengine wanajikaza hivyo hivyo na ugwadu wao, wengine watawasumbua wapenzi wao na sex chat mpaka basi n.k.

Ila all in all, mkuu sidhani kama utapata any real honest answer, zaidi ya majibu ambayo yatawa-paint wanawake in a good light.
 
Binafsi hainipi shida.

Ku cheat sababu mumeo yupo mbali ni kisingizio tu. Ulitamani ucheat siku zote ukakosa upenyo tu.😀😀😀

Kaa tulia, jiweke bize na masuala ya familia na jiweke karibu na Mungu wako muombe subra.

Mtunzie jamaa kitu yake, mishe zikiisha akirudi utafurahi.
 
Mimi mara kadhaa nimekaa muda zaidi ya hiyo miezi mitatu bila kukutana na Baba Chanja. Huwezi kucheat unless ulishakuwa na hayo mawazo au ulidhamiria. Huwezi hata kuruhusu kuwa kwenye mazingira ya kutongozeka kirahisi. Mawasiliano mazuri na mwenza wako pale mnapokuwa mbali pia yanasaidia sana mwanamke kuwa na subira.
 
Sio wote ila wengi wao uchepuka. Wanaweza kuwa wagumu mwanzoni lakini baadae wengi ulegea hasa ikitokea wakawa wanatongozwa mara kwa mara.
 
Sio wote ila wengi wao uchepuka. Wanaweza kuwa wagumu mwanzoni lakini baadae wengi ulegea hasa ikitokea wakawa wanatongozwa mara kwa mara.
Hakuna mwanamke asiyetongozwa hasa ikijulikana mume hayupo. Lakini pia ni rahisi kwa mwanamke kutengeneza mazingira ya kutongozwa au kutokutongozwa. Kwa kiasi kikubwa, kuamua kuchepuka ni maamuzi tu.
 
Hakuna mwanamke asiyetongozwa hasa ikijulikana mume hayupo. Lakini pia ni rahisi kwa mwanamke kutengeneza mazingira ya kutongozwa au kutokutongozwa. Kwa kiasi kikubwa, kuamua kuchepuka ni maamuzi tu.

okay noted. seems you are strong mama!
 
Binafsi hainipi shida.

Ku cheat sababu mumeo yupo mbali ni kisingizio tu. Ulitamani ucheat siku zote ukakosa upenyo tu.😀😀😀

Kaa tulia, jiweke bize na masuala ya familia na jiweke karibu na Mungu wako muombe subra.

Mtunzie jamaa kitu yake, mishe zikiisha akirudi utafurahi.
Ktk ubora wako ule ule, japo leo hujatema ngeli
 
Wengi wanakuaga wambeya,,wanajiachia sana starehe,,labda ndo inazima hamu
 
Hakuna mwanamke asiyetongozwa hasa ikijulikana mume hayupo. Lakini pia ni rahisi kwa mwanamke kutengeneza mazingira ya kutongozwa au kutokutongozwa. Kwa kiasi kikubwa, kuamua kuchepuka ni maamuzi tu.
Kumbe kuna ambao wanajitengenezea mazingira ya kutongozwa eehh??

Ukienda2 inatick
 
Back
Top Bottom