Ray model
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 207
- 185
Hapa nazungumzia kuachwa na mpenzi amekukataa katakata yaani ukitizama huna kosa makosa ni yake na kakutafutia vijisababu na chokochoko ili akuache tu
Mtu kama huyu siyo wa kumlilia na kumng'ang'ania jikaze usonge mbele tu
Kama ni wako au rizki yako basi atajirudi mwenyewe ukigeuka nyuma na kuanza kuwa na stress, hasira na uchungu utajiharibia mood ya maisha
Mama weee mapenzi pesaaa uwe mdada au mkaka zisake tu ukishazishikilia mbona watajileta tu???? Na hata km alikuacha atajirudi tu
Na utakua na uwezo wa kuwa na mpenzi wa aina yoyote maana pochi na wallet zinasoma