Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi nimeamua kuwa Tofauti! "Barua kwa mwanaume atakayempenda Ex-Girlfriend wangu" Usishangae utakapo mpenda "Ex-Girlfriend" wangu haraka sana,na wala usitilie Shaka Upendo wake...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWAKO RAFIKI YANGU KUHUSU NDOTO ZAKO Wasalaam!! Natumaini u bukheri wa afya na Mwenyezi MUNGU amekujaalia pumzi na uhai Kwa muda huu uusomapo waraka huu.Nami pia ni bukheri wa afya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mahusiano ya aina mbili. Yale open, ambapo watu wengi wanajua kina fulani wako in a relationship, iwe mtandaoni, au labda mtaani, au shuleni/darasani. Au tu marafiki zenu wengi wanajua uko...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Haya mambo ya haki za wanawake ni tabu tupu, jana nimemchapa kibao wife tumezaa nae mtoto mmoja miaka miwili sasa. Leo asubuhi kaamka kumbe kaenda polisi kunishitakia jioni hii napata barua ya...
1 Reactions
110 Replies
13K Views
Habar wana jf Daah juzi juzi tu nilikuja na nyuzi ya kupangwa kikazi ktk huu mkoa wa mara Ila daah huu mkoa aisee ni shidaah hauna watoto wazur yaani hamna hata luxuries place za kwenda kutoa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu,..nmepitia relationshp nying,..ila mbili tuu ndo zilikua zenye uzito,yaan zile za kuchanganya kabsa na zilidum kwa zaid ya miaka 3...hizi nyingne,znakuaga miez kadhaa then znakufa,ila...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja!ni hivi katika swala la kulea mtoto wako hasa inapotokea mliachana na mama wa mtoto kwa namna moja au nyingine ni changamoto kubwa sana!hasa masingle mother...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
NGOJA NIZUNGUMZIE MAPENZI. Mapenzi yetu ya leo kaazi kwelikweli,Zaman ilkua rahisi sana mwanaume akimtongoza msichana ambaye ana mtu wake au anamsimamo wke au hayuko tayari basi, kutukanwa au...
7 Reactions
147 Replies
19K Views
Ikiwa unajua jinsi ngono yenye nguvu ilikuwa, huwezi kuwa na mtu yeyote tu. Wakati wa ngono kuna kubadilishana mbili tofauti zinazofanyika, kimwili na kiroho. Watu wazima zaidi wanajua...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau naomba mje hapa, hebu tujadili mapenzi kwa nyanja tofauti. Kwanini wanaume wengi sikuizi wanachepuka sana? Unaweza kua mdada unachura kubwa, sura nzuri lakini limwanaume lenyewe halibebeki...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Sana sana wale wanaodhani ni mastaa na baadhi ya watangazaji na wanaharakati pia. Utasikia dada hana mume anasema eti anaomba Mungu apate mtoto, au eti hana uwezo wa kuzaa, tena analiweka wazi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilidhani tunataniana mwanzoni Ila rasmi sasa kamefunguka kuutamani 'Mchezo-wa-kikubwa' nami. Dah! Shida hii. Na ninaposema kabibi, Ieleweke kuwa ni kakikongwe kweli kweli. Sio lishugamami la...
4 Reactions
127 Replies
10K Views
Jamani nimeona dada moja anaolewa mara ya pili Leo, hivi hii ni sawa? Nakumbuka Flora Mbasha naye aliolewa mara mbili. Wataalamu wa maandiko na masuala ya dini na imani. Naombeni mawazo yenu na...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..[emoji23] 2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..[emoji23] 3, Mwanaume...
3 Reactions
64 Replies
9K Views
Jamani msaada unahitajika hii ni habari ya ukweli. Niko na mke mke wangu mwaka wa 3 huu na tuko na mtoto 1 wa kike mwenye mwaka 1 na miezi saba. Awali hii ndoa ilikua na furaha kwa sote baada...
2 Reactions
171 Replies
16K Views
Dah! Kwanza niwashukuru wadau wote wa J.f kwa michango yenu ingawa michango mingine ilinikatisha tamaa kabisaa! niwaambie tu ukweli,siku km tatu nyuma nilipata shida sana kisaikolojia hasa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello guys I hope wanaume wengi ishawatokeaga hii, utakuta umemtongoza demu hlf akakupa namba mkakubaliana mkutane sehemu flani (maybe ghetto au kwenye mgahawa), muda wa kukutana unafika demu...
7 Reactions
116 Replies
10K Views
Natamani kuwa uliza kaka zang je .ukiambiwa ufunge ndoa Na mwanamke mwenye tabia kama za mama utakubari. Mama yangu kajawa Na chuki .roho ya kisasi .uchonganishi Na mambo ya kujifanya mcha mungu...
7 Reactions
147 Replies
14K Views
Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Kilichonitokea leo baada ya kuona nungunungu Baada ya kukaa mda mlefu sijamuona nungu'nungu leo nikakuna nae nikajisikia furaha sana, nikaona bora niende nikamkumbatie !! kutokana na kukaa cku...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…