Tabia za kike kwa wanaume

Tabia za kike kwa wanaume

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..[emoji23]

2, mwanaume kupiga picha umeng'ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..[emoji23]

3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za Ligi kuu England Premier League zinaendelea, pia nawe ni MMAMAA…[emoji23][emoji23]

4, Mwanaume kuandika 'Jomon' badala ya Jamani, kuandika 'Pw' badala ya Poa, kuandika 'Thatha' badala ya Sasa, kumwandikia mwanaume mwenzio 'Mambo my' Huu ni UDADA, tena UDADA wa CHUO..[emoji23]
.
5, Mwanaume kunywa soda au Juice na kubakisha, kununua chakula halafu unakibakisha, kubagua bagua chakula na kujamba hovyo hovyo baada ya kushiba, huo nao ni UMAMAA..[emoji23]
.
6, Mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzio anapata faida gani kuangalia Mpira, pia nawe ni MMAMA…
.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Muda wa kulala bado saaanaa

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Back
Top Bottom