Wadau naomba mje hapa, hebu tujadili mapenzi kwa nyanja tofauti. Kwanini wanaume wengi sikuizi wanachepuka sana? Unaweza kua mdada unachura kubwa, sura nzuri lakini limwanaume lenyewe halibebeki hata ulipe penzi gani. Hivi wanaume wana matatizo gani. Mianaume yenyewe ya sikuiz ni kimoja tu limechoka. Yaani ni kero
Bongo sihami ng'oo
Pole sana kama yamekukuta. Yakishakukuta uanajifunza na kuwafunza watoto wako na wapendwa wako wengine. Tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa, lakini siyo lazima yawe makosa yetu wenyewe.
Ongeza udhibiti kwa mumeo/mpenzi. Usimwachie nafasi ya kuwa na loose time na michepuko. Kiwa na full access na via a vyake vyote vya mawasiliano. Hata akiwa safarini keep him busy and costantly watched.
Ambao hawajaingia kwenye mtego huo kwa hali ya kudumu, awe makini kutafuta mwenza anayefaa. Usiangalie mwonekano au hali ya mali, elimu au kazi. Tafuta compatible soul-mate. Mtakayewezana na kuelewana katika hali zenu halisi.
Wanawake siku hizi wanahangaika sana kutafuta wanaume za watu, hadi wanahonga na hata kuloga. Wamecharuka kuliko wakati mwingine wowote.
Wanawake msidanganyike na CHURA zenu au mwonekano mzuri wa sura na maumbile. Men need more than that from his wife/ girl friend. Men need care, passion and attention more than women.
Jitahidi kuwa mpya kila mara kwenye mahusiano yako. Usiache mambo yajiendee ili mradi. Wanaume wengi waliochepuka hufanya hivyo kwa kuzidiwa ujanja na michepuko, na wengi huishi kwa kujuta.
Msaidie mwenzio kutoka kwenye mitego kwa upole na akili. Ukiwa mkali sana unampoteza.
Nitarudi ukihitaji meneno ya nyongeza
Sent using
Jamii Forums mobile app