Hawa wadada siwaelewi

Hawa wadada siwaelewi

Mzee Mwenzangu

Senior Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
190
Reaction score
168
Sana sana wale wanaodhani ni mastaa na baadhi ya watangazaji na wanaharakati pia. Utasikia dada hana mume anasema eti anaomba Mungu apate mtoto, au eti hana uwezo wa kuzaa, tena analiweka wazi wazi na hata kufikia kuomba msaada wa mawazo au matibabu ya tatizo kama lipo. Kwa nini asiombe mume kwanza ndo aombe mtoto?
Swali ni hili, ni Mungu yupi wanamuomba? Kuna tofauti na mwizi aombaye Mungu amsaidie kufanikisha kuiba? Je wanaamini Mungu anawasikiliza?
Nilitegemea awe kwenye mstari ulionyooka kabla ya kuelekeza maombi kwa Mungu
 
Mkuu acha kujisumbua na watu wasiojitambua..
 
hilo ndo tatizo la mastar wa bongo kwanza wengi wao njaa kufa
 
Sasa kuna mtu atakae kubali kuoa mwanamke ambae hana uwezo wa kuzaa? ?
Yupo sahihi kutafta matibabu ya tatizo kabla ya kupata mume! ili kuokoa matatizo na migogoro ya ndoa itakayojitokeza baada ya kuolewa kuhusu swala la kutokuzaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694
Upo sahihi, tatizo ni kwamba uwezo wa kutozaa siyo kidonda kwamba unakiona hivyo ukitibu. Pia si kweli kwamba kaenda kupima kakuta homoni hazitoshi kuzaa, bali kafanya ngono zembe kwa matarajio ya kupata mtoto lakini hapati.
Nakubaliana na wewe kutafuta tiba, lakini hili la kuomba kupata mtoto limekaaje wakati huna mume? Angeomba uponyaji hapo sawa na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom