stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 620
- 1,759
Kuna mahusiano ya aina mbili.
Yale open, ambapo watu wengi wanajua kina fulani wako in a relationship, iwe mtandaoni, au labda mtaani, au shuleni/darasani. Au tu marafiki zenu wengi wanajua uko in a relationship na fulani.
Na kuna mahusiano yale ya lowkey/secret. Ambapo unakuta hamna mtu anaejua mko in a relationship, labda watakao jua ni wachache mnao, either labda ni ma-bestfriend zenu au mtu mmoja mmoja. Ndo ile mtu siku unakuja kugundua fulani na fulani walikuwa wanadate unaweza hata usiamini maana hawakuwa wanaonyesha dalili zozote zile kwamba kuna kitu baina yao.
So kwako kipi bora, mahusiano yaliyo open au secret?