Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuuu huyu mtoto namkubali sana. Najaribu kumrudisha tuishi kama zamani. Miezi nane sasa imetimia hakuna hata dalili kama atarudi. Nimebembeleza mpaka nimechoka. Nifanye nini jamani?
2 Reactions
21 Replies
4K Views
salama na amani iwe kwenu LC Kutafuta na kuchagua mwenza si kazi ndogo kama wengi wanavyochukulia kwa kuwa naamini inawezekana ikawa muendelezo wa furaha yangu ambayo nimeihangaikia kwa miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ulienae anapenda kukutumia SMS nzuri na mwenye kauli mzuri na mahaba zaidi kipindi ambacho wewe mfuko wako umenona pesa, basi jua kabisa kwamba huyo sio MPENZI wala MKE wako bali huyo ni MPENZI na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Katika muendelezo wa mada zangu za ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu, naomba kuwaongezea na hili. Mwanaume lazima uchague kitu kimoja utakachokua unafanya katika mahusiano. Usije kujisumbua...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndio maana huwa wanapenda kuzungushia mabati ili.msione utendaji kazi wao.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana jioni natoka kazini kuna wadada wa2 tunafanya kazi mtaa mmoja waliomba lifti niwasogeze, huyo mmoja ni mdangaji kiasi sasa katika story wakamuongelea jamaa mmoja wa mtaani alikua na mahusiano...
5 Reactions
135 Replies
12K Views
Hapa mshana atahusika Bikra ukiitoa baada ya miaka 20 haina faida ni laana . Mimi nikiwa mtoto makete huko nlipewa taji la hii makitu nilipata kesi 3 pamoja ,babu alinitandika sana,usiku bibi...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Katika maisha ya mwanadamu kuna vitu viwili. Kuna mambo ambayo ni muhimu na kuna mambo ambayo ni kipaumbele. Ni wewe tu utachagua ufanye mambo gani. Pia kuna maswali ambayo ni muhimu ila si...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote. Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii 50 kwa 50 imewapa kiburi sana wanawake wa kitanzania. Kiburi cha kijinga… Wamekuwa na visauti sana. Wanaona wako sawa kabisa na wanaume katika kila nyanja za kiuchumi, kiuchumi na kisiasa...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Rafiki yangu na jirani yangu hapa nyumba ya pili, tarehe 08/07/18 alipokea simu kutoka kwa shost kuwa ana matatizo na mumewe anaomba aje alale mpaka kesho yake. Shost alijitoa kwenda kumchukua...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
....
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza. 1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la. 2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani...
17 Reactions
141 Replies
19K Views
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanandugu. Nimeamua rasmi kuacha kutumia kileo/pombe, baada ya kuwa mtumwa kwa zaidi ya miaka 12, pombe ina athari nyingi sana wanandugu, si nzuri kiafya, kijamii, na kiuchumi...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
[https://encrypted-tbn0] Kufanya mapenzi ni mojawapo ya vitu vichache ambavyo watafiti wanasema vinamfanya mtu aburudike huku mwili wake ukifaidika kutokana na tendo hilo. Utafiti umeonyesha...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Karibia mwezi umeisha msichana wangu akilalamika juu ya kuumwa na tumbo. Kazi yangu inanifanya niwe on the road almost 25 days of the month; hivyo amekuwa akienda hospt mwenyewe. Kama majuma...
1 Reactions
95 Replies
9K Views
Have you ever wondered why relationships influence how we perceive our worth and values...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Biashara ya hawa jamaa imefikia hapa wanadhani sasa ni muda mwafaka wa kuwashawishi watu wengi zaidi kuzikimbilia dawa hizi wafanyapo ngono..Uenda mamilioni ya watu wakafulika kuyanunua ili tu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…