Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ng'ombe, akishatoa maziwa ya kulisha familia nzima, hurejea katika malisho yake taratibu. Lakini kuku, akishataga yai moja hupiga kelele ili kila mtu ajue. Je! Yai hilo alilotaga laweza kutosha...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar WanaJF Naomba kufahamu; je ni sawa katka mahusiano hasa yanayolenga ndoa mwanamke kuwa mkubwa kwa mwanaume?
0 Reactions
104 Replies
15K Views
Nimekuwa silencer nguli kwenye hili jukwaa pendwa la MMU. Ki ukweli nakiri ni mdau mkubwa katika jukwaa hili. Niende moja kwa moja kwenye mada Wajuzi wa mapenzi wamekuwa wengi kwenye hiki kizazi...
5 Reactions
60 Replies
13K Views
Wadau, nimeishi na mke wangu miaka 12 sasa. Kwa miezi 9 iliyopita mke wangu alianza kuumwa magonjwa ya ajabu. Nikilala na mke wangu, napata maumivu makubwa sana chini ya kitovu. Nikienda kupima...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Ilikuwa tarh 17/01/2016. Kwa mara ya kwanza nafika Dar es Salaam, nilifikia kwa jamaa ghetto kiumeni na baada ya mwezi mmoja brother niliyefuatana naye pia akaja Dar. Nilikaa kwa jamaa miezi 7...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Nakumbuka miaka ya 1990's nikiwa nasoma kidato cha Nne mkoani Singida! Enzi hizo shule yangu niliyokuwa nasoma ilikuwa na umbali wa Kilomita kama 15 hivi hadi mjini ambapo ndipo kuna Guest House...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu, naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu. WASIFU WANGU -nina umri wa miaka 23. -nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A -sina mtoto...
25 Reactions
99 Replies
27K Views
Habari wakuu Kuna mshikaji nashindwa kumuelewa kwa siku mbili hizi kwenye eneo la kujipatia ridhiki kwani anijibu nikimsemasha na sio kawaida yake ila cha ajabu ni pale wanapokuja watu wengine...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habar zenu wana jf natumai nyote mpo poa kabisa Niende moja kwa moja kwenye mada husika na kama kichwa cha habar kinavyojieleza Kiukwel vijana wengi hasa tuliozaliwa kuanzia 90s na kuendelea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
*Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki.* Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote. Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti. Hata wale wasio marafiki, kuna...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wapendwa wa jukwa letu pendwa la MMU. Bila kurundika maandishi yasiyo na maana niende moja kwa moja maada, wapendwa hapa tusiwazungumzie single mother waliofiwa wenza wao( wajane)...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimeona niiweke hii mada sababu nimekuwa nikiishi na rafiki yangu mmoja nimetoka nae sekondary baada ya kumaliza chuo tukapanga chumba kimoja na kila mtu akapata kazi, sasa baada ya mda jamaa...
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Hakuna kitu kinachekesha huku Duniani, Mtaani, Majumbani, Vijiweni, Maofisini, Mashuleni na Vyuoni kwetu au kwenye vikao vya familia kuona mtu anatoa povu anajisifia amefanya kitu fulani lakini...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
1 Reactions
76 Replies
9K Views
Kutokana na ubishoo wa kula machips na vyuku mwendokasi pamoja na mamisosi fekifeki huku tukiona ni ushamba kula ugaIi wa Mitama na nafaka za asili na mapochopocho asilia kumepelekea majanga...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa nikidate na girlfriend wangu kwa takribani mwaka mmoja sasa. Wote tumekubaliana tusishiriki tendo la ndoa(kugegedana) hadi pale tutakapofunga ndoa/kuoana. Tumekuwa wawazi juu yetu kwa...
13 Reactions
156 Replies
12K Views
Baada ya mahusiano yetu kufa tutakubaliana tubak marafiki, huwa sipendi kuwa na uadui na ma x, Jambo la kuwasiliana na kupeana ushauri au hata mawazo ya kimaisha huwa ndo kitu pekee kinachobak...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Swali hili nalilenga hasa kwa wanaume wenzangu ingawa hata wanawake wanaweza changia Kwasisi wanaume huwa hatupendi kuonekana kwamba ni wadhaifu mbele ya jinsia ya kike hata kama ukweli upo hivyo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Gold digger ndilo jina maarafu South Africa kwa vijana wanao date na wanawake waliowazidi umri, hivi karibu jina limebadirika na sasa wanaitwa /tunaitwa Ben 10!!. Kuna siku katika mishe mishe...
35 Reactions
186 Replies
48K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…