Hapa sitaki wajumuisha wanawake wote tawatenga katika makundi mawili
Kundi la kwanza kuna wale wanawake ambayo wapo responsible na majukumu ya familia kwa kila kitu na mume yupo ila mume...
Poleni na Majukumu ya Siku ndugu. Nina swali nisaidieni mawazo yenu
Nimepata mchumba ambaye anatoka familia ya kishua haswa na mimi sio wa kishua hata kidogo.. Je itafaa kumwoa?
una mtazamo gani...
Cha kwanza na kianze.
-Nimeambiwa nikanunue embe usiku huu.
Mama Kijacho tangu iwe confirmed mambo ni moto.
Kwa upande wangu lakini.
-Kuna siku alinipigia simu mchana kua anataka kachori mbili...
Habari wakuu!!
Unapozungumzia watu mahiri na mashuhuri katika fani za mitongozo. Fani za kurusha Vesi na swaga basi mimi ni mmoja wapo. Ni kijana niliyefuzu na kupitia mafunzo yenye viwango vya...
Wakuu samahani naomba kuuliza tu,kwa nini wadada wa kizenzibari hawana chura asilimia kubwa?
Yani ni wakuhesabu sana ukiona ana chura ulizia utaambiwa eidha mama au baba wa huku tanganyika...
Wazima humu??
Ni hivi nina, rafiki yangu amepatwa na janga, nimeona nililete huku kwa wazee wa busara maana ni kama nimeshindwa hivi kumpa ushauri sahihi...
Jamaa baada ya kumaliza form 6...
Ulishawahi kupewa sifa wakati wa kugegeda ama baada ya kugegega? Je ulishawahi kupewa zawadi?je unakubali kuwa sio wanwake wote wana toa sifa za uongo?,kiasi bibie akakushukuru, akakusifu,akakupa...
Mimi ni binti wa miaka 23, sijaolewa lakini nina mchumba wangu kashajitambulisha kwetu na kila kitu kimekamilika, niko chuo mwaka wa pili naingia mwaka watatu. Sababu za kuja huku nikuomba...
Wakuu, mashinikizo ya kuoa au kuingia kwenye ndoa baada ya kufikisha miaka 30 hayako kwa wanawake tu.
Mimi mwaka huu nimefikisha miaka 30, kila ndugu ninaekutana nae tukikaa kidogo tu ananiuliza...
Mm n kijan wa miak 23, mwanafunz w mwk w 3 chuo n niko single. Natafut mpenz w kike mwny sifa zifuatazo:
Umri: miak 19-22,
Dini: yoyote
mahali: awe anaishi dar.
Kw yoyot alie tayar nichek kwny...
Habari wakuu!
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.
Watu wengi wanapogombana na wapenzi wao hata pengine wao ndio wamesababisha ugomvi huo hujawa na kiburi na kushindwa kujishusha ili kumaliza...
Kama mlidhani Mwanaume kupenda kumpiga Mwanamke ni Kosa au Dhambi au Ushamba basi jua kuwa Wewe ndiyo ' umepotoka ' na uko nyuma na dunia hii kwani katika hali isiyokuwa ya kawaida ( japo Kwetu...
Unakuta nyumba moja ina wapangaji zaidi ya watano! Wapangaji hao wanashare luku,bafu,choo,n.k
Sasa imekuwa ni mbaya kwa jamaa mmoja baada ya kujikuta kumbe anashare mke wake na mpangaji mwenzie...
Devion nipo mwaka chuo mwaka wa tatu, niliwahi kupata mtoto nikiwa mwaka wa kwanza ila alifariki.
Sasa wazazi wanalazimisha kuwa nioe tu nipate watoto, kwa kuwa sijui nimebakiza siku ngapi za...
Hakika nahesabu kama ni hasara sana kwangu maana kila ninapomtokea demu kadri tunapoendelea kufahamiana kumbe nagundua ni bonge la tegemezi japokuwa wengine huonekana kuwa wagharama sana kwa...
Najua wengi mtakuwa mnakubaliana na mimi ya kwamba katika maisha siku zote ndugu ambao wanatokea upande wa mama huwa wana msaada mkubwa kuliko upande wa baba .
Kwa mfano ukiwa na tatizo...
Habari za siku wakuu!
Kabla sijapoteza mda naomba kwenda kwenda kwenye mada kuu moja kwa moja
Ni Mda kidogo tangu nimjue Mungu, Kiufupi ninampenda Mungu na nimemkabidhi maisha yangu!
Nimeamua...
Shimboni Shani,.
Wakuu kila nikitaka kuleta hii mada nasita, any way leo naona nimwagee huu mkasa.
Kuna manzi angu wa kitambo sana(3yrs nw) tuko kwenye mahusiano.
Pamoja na vurugu vurugu zake...