Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa nawaambia kuwa akitokea mwanaume awae yeyote akikutongoza mwangalie kwanza kama kavaa shati la kitenge chonde chonde usimkubalie kwanza jiulize hilo shati atakuwa kashona sare na nani. Ni...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Greetings! Nina-date wasichana wawili, lakini mmoja(let me call her M) nampenda sana kuliko mwingine (let me call her D). Japokuwa D ndio nilianza kuwa naye kabla ya M, sipo tayari kumpoteza M...
1 Reactions
109 Replies
7K Views
Wasalaam ndugu na jamaa mliopo ndani ya jukwaa letu pendwa , Lengo la kuleta uzi huu siyo kwamba nimeleta vitu vigeni hapana ni kukumbushana kwa wale ambao walishawahi kuvisoma na na ni mapya kwa...
4 Reactions
5 Replies
8K Views
Nikiwa mgeni humu kwenye jukwaa pendwa la malavidavi ningependa kujua je nini kimenisibu maana haikuwa kawaida yangu Story yenyewe iko hivi usiku wa kuamkia leo nikiwa na kabinti kadogo above 18...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46, natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari, tuwasiliane kwa 0715 33 85 27
6 Reactions
84 Replies
9K Views
23 Year Old Man with 7 Children Claims Daughter to be His (Paternity Court) Two men join forces and bring a woman to court to find out if either of them is the father of her baby girl
1 Reactions
1 Replies
658 Views
Habari zenu mahala hapa. Huku kwetu si salama sana,ndugu yangu ana hali mbaya sana msaada tafadhali . Twende kwenye mada.Nina rafiki yangu ambaye kiukweli naweza muita ndugu yangu au pacha kama...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Kwenu msiooa, Wanawake wapo wengi sana na wazuri kutokana na uono wako unaweza kumpenda yoyote umtakae ila kuwa makini sana kwenye suala zima la kuoa jitahidi upate bikra angalia sababu ni kwanini...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Yaani kuna mademu Fulani hivi wana nuksi kama zote ukiachana nae utakataliwa hadi na kina nandy sijui ndio huwa inakuwa radhi ama nini! Yaani kila ukitongoza unapigwa chini hadi nuksi ikiisha...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi wana jf, najitokeza Kwa mara Ya kwanza kutafuta mke wakuoa kupitia jukwaa hili la Jf. Samahani Kwa nitao wakwanza kuandika bandiko langu. Jamani mke anapatikana popote hata kupitia humu nipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamii? Kuna mtu aliniomba ushauri nikaona si vibaya kuja mbele yenu magwiji wa ushauri. Ishu ipo hivi, x ambaye ni mkaka walikuwa wapenzi kwa takribani miaka mi3 na y ambaye ni mdada...
0 Reactions
116 Replies
8K Views
Habari wakuu poleni ni mihangaiko ya kutafuta ridhiki ya kila mtu naenda kwenye lengo la mada kuna msichana mmoja wakati tuko Olevel alikuwa ni mchumba wangu sasa matokeo ya advance...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Nchi za wenzetu hata matumizi ya mahindi ni kwa ajili ya kulishia wanyama.USA ,UK n.k na pengine viburudisho tu kama pop corn n.k ugali una wanga kwa wingi sana. Unga wa ugali si rafiki kwa...
13 Reactions
75 Replies
9K Views
Wadau naomba mawazo yenu ktk hili... Je ni sahihi mpenzi wako kufuatilia kwa siri mawasiliano yako ya simu kupitia rafk yake mweny access hyo ktk ma kampuni ya mawasiliano...na je ukijua kafanya...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mambo vipi? Ni kawaida kwa mwanaume kushindwa kufanya tendo la ndoa kutokana na sababu kama kuwa na pupa, kwenda kufanya tendo la ndoa wakati unajijua kabisa leo sina mzuka, maumbile ya mwanamke...
6 Reactions
57 Replies
8K Views
Niko porini namaanisha kijijini hasa nlimpenda msichana mmoja anafanya kazi ya kushona kwa mtu kutokana na kuteswa na msomi mwenzangu nkaona mke si ndo huyu! ikumbukwe tu kiwa sijaoa na sikua na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Wanaume ni viumbe ambao kati ya starehe zote ila kugegeda ndio namba moja, na ndio maana mwanaume akinyimwa kugegeda huo mtiti wake si wa mchezo, timbwili litatokea nyumba nzima...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Tulipanda pamoja daladala za simu 2000- B/sokoni mida ya saa mbili kasoro usiku ulikuwa wewe na dada yako bonge bonge hivi ambaye alikaa nyuma kabisa lakini mimi na wewe tulikuwa tumesimama, muda...
41 Reactions
208 Replies
20K Views
Wadau habari za majukumu natumai wengi mnaendelea vizuri na mishe mishe ili hali kipatikane kitu mkono uende kinywani pamoja na kuwa maisha yana mambo mengi pia hata mapenzi yanaleta uzito katika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naitwa Dulla Same, nina umri wa miaka 21, kabila langu ni mmakonde (Konde Boy) Natafuta msichana ambaye nitaanza naye mahusiano ya kimapenzi. SIFA: 1. Awe anajiamini/kujikubal kwamba ye ni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…