Kijana fahamu ni kwanini uoe bikra

Kijana fahamu ni kwanini uoe bikra

ALU255

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,089
Reaction score
2,126
Kwenu msiooa,
Wanawake wapo wengi sana na wazuri kutokana na uono wako unaweza kumpenda yoyote umtakae ila kuwa makini sana kwenye suala zima la kuoa jitahidi upate bikra angalia sababu ni kwanini uoe bikra

1. Utakuwa mtu wa kwanza kutoa usichana wake na kwa kufanya hivyo itamfanya akupende kuliko wanaume wote,na hii itapunguza zile tabia za wanawake walioolewa wakiwa hawana bikra wakikutana na waliowatoa bikra huwa wana tabia ya kupasha viporo

2.Hajui ladha ya ngono ipoje,hakika utachompa wewe ataamini ndo hicho anachostahili kupata kwa sababu hajawahi kupata ladha nyingine zaidi ya hio na Nina uhakika hata kuja kusema eti umridhishi wakati hakuna aliyewahi kumridhisha,ukiona mwanamke kakwambia humridhishi basi jua tu kuna mtu anamridhisha au alishawahi kumridhisha sasa hapo unaposex nae wewe anafanya comparison tu ila utayari wake haupo hapo na kama unavyojua sex inafanywa na ubongo (nielewe hapa) bila utayari wa ubongo hakuna sex ni ubakaji huo

3.Huwezi kuambiwa una kibamia,kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kukubali matatizo ambayo sisi hatuna kila mtu kaumbwa na dushe la kumtosheleza cha ajabu mwanaume unajiona na kibamia eti kisa tu uliingiza ukazama yote bila kugusa ukuta naomba nikwambie ukweli ukiona mwanamke anakwambia una kibamia mwambie kabisa ndo ulivyoumbwa ila muulize vipi yeye kaumbwa na hicho kisima au ni yeye kaamua iwe hivyo hapo bikra anakuwa hajatanuliwa so kila size inafit maana ni elastic ile usijihangaishe na Madawa ya kuongeza dushe lako natural kisa papuchi ambayo ni man made tafuta papuchi natural muende sawa

NB: hii ni kwa wale tu vijana ambao hawajaoa kwa mliooa mnajua maisha yanaendaje huko ndoani mnawezana ndo maana bado mpo pamoja ila kwa uliyebahatika kuoa bikra kwakukusudia tuambie kwa nini ulioa bikra na uliyeoa used kwa makusudi kwanini ulioa used
 
Mmmhhh hapo kwenye ladha Ya ngono hapaaaaaaaaa.

Maana hisia Za utamu hazijifichi Kama umempa utamu ukaishia njiani lazima atakwambia hajarizika ,hata kama hajawahi kufanya before
 
Kama atakwambia hajaridhika na hajawahi kuchepuka basi amini kuna siku uliwahi kumridhisha zaidi hapo
 
Nina mademu wawili wote nimebahatika kuwatoa bikra sijui Sasa nchague yupi wa kuoa.kiukweli najiskia raha sana
Hapo kuwa makini usije ukawa umewahi kuwatoa af kabla hujawaoa wakapita kwingine utapokuja kuwaoa utapata tabu japo sio sana kama ukioa alietolewa bikra na mwingne
 
Kama atakwambia hajaridhika na hajawahi kuchepuka basi amini kuna siku uliwahi kumridhisha zaidi hapo
Kumbuka tunaishi kwenye ulimwengu uliotawaliwa na utandawazi unaweza ukaoa bikra lakini akawa anatazama porno,au akawa kwenye magroup ya WhatsApp ambayo wanawake wanaelezana namna wanavyofikishwa kileleni ,plus style tofaut tofauti, bro swala LA kuogopa kumegewa demu wako .lisikufanye uamini kuwa suluhisho n kuoga demu bikra ,sio kweli kabisa, .. ... Utaoa bikra na watu watajilia tuu km utakua mzembe,au akiwa na tamaa zake...
 
Kwenu msiooa,
Wanawake wapo wengi sana na wazuri kutokana na uono wako unaweza kumpenda yoyote umtakae ila kuwa makini sana kwenye suala zima la kuoa jitahidi upate bikra angalia sababu ni kwanini uoe bikra

1. Utakuwa mtu wa kwanza kutoa usichana wake na kwa kufanya hivyo itamfanya akupende kuliko wanaume wote,na hii itapunguza zile tabia za wanawake walioolewa wakiwa hawana bikra wakikutana na waliowatoa bikra huwa wana tabia ya kupasha viporo

2.Hajui ladha ya ngono ipoje,hakika utachompa wewe ataamini ndo hicho anachostahili kupata kwa sababu hajawahi kupata ladha nyingine zaidi ya hio na Nina uhakika hata kuja kusema eti umridhishi wakati hakuna aliyewahi kumridhisha,ukiona mwanamke kakwambia humridhishi basi jua tu kuna mtu anamridhisha au alishawahi kumridhisha sasa hapo unaposex nae wewe anafanya comparison tu ila utayari wake haupo hapo na kama unavyojua sex inafanywa na ubongo (nielewe hapa) bila utayari wa ubongo hakuna sex ni ubakaji huo

3.Huwezi kuambiwa una kibamia,kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kukubali matatizo ambayo sisi hatuna kila mtu kaumbwa na dushe la kumtosheleza cha ajabu mwanaume unajiona na kibamia eti kisa tu uliingiza ukazama yote bila kugusa ukuta naomba nikwambie ukweli ukiona mwanamke anakwambia una kibamia mwambie kabisa ndo ulivyoumbwa ila muulize vipi yeye kaumbwa na hicho kisima au ni yeye kaamua iwe hivyo hapo bikra anakuwa hajatanuliwa so kila size inafit maana ni elastic ile usijihangaishe na Madawa ya kuongeza dushe lako natural kisa papuchi ambayo ni man made tafuta papuchi natural muende sawa

NB: hii ni kwa wale tu vijana ambao hawajaoa kwa mliooa mnajua maisha yanaendaje huko ndoani mnawezana ndo maana bado mpo pamoja ila kwa uliyebahatika kuoa bikra kwakukusudia tuambie kwa nini ulioa bikra na uliyeoa used kwa makusudi kwanini ulioa used

Waambie Mkuu vijana wenzangu...

Maana mahusiano ya kisasa yana changamoto nyingi. Bora wakupigie Girlfriend kuliko Mke.
 
Tofauti yake ni nini...?
Tofauti yake ni kwamba baada ya wewe kumbikiri akaenda kupata ladha zingine then akarudi kwako atakuwa ana compare ufundi wa kitandani na ukiwa vibaya kuliko alikopita si ajabu akawa anachepuka kwa fundi ila ukimtoa na kumuoa hatajua ladha nyingine zaidi yako wewe
 
Eti naskianga bikra hutengenezwa, yani unaweza ukajitamba umemtoa mwanamke bikra, utaskia mwingine naye anasema kamtoa,

*haka kakitu sijui vipi?
Hayo mambo yapo ni kweli kuna wasichana huwa wanaweka za bandia ili kuwalaghai mabwana zao lakini ukiwa makini artificial utaigundua
 
Back
Top Bottom