Kwenu madada:ushauri.

Kwenu madada:ushauri.

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Nilikuwa nawaambia kuwa akitokea mwanaume awae yeyote akikutongoza mwangalie kwanza kama kavaa shati la kitenge chonde chonde usimkubalie kwanza jiulize hilo shati atakuwa kashona sare na nani.
Ni hayo tuu nimemaliza.
 
Nilikuwa nawaambia kuwa akitokea mwanaume awae yeyote akikutongoza mwangalie kwanza kama kavaa shati la kitenge chonde chonde usimkubalie kwamza jiulize hilo shati atakuwa kashona sare na nani.
Ni hayo tuu nimemaliza.
Hatupangiwi...moyo ndo huchagua wa kuwa nae...!
 
Hivi ukikutana na Lemtuz una haja ya kuuliza hilo swali? Angalia na mwili wa mtu kabla hujauliza upande wa pili wa kitenge uko wapi.
 
Ngoja lile langu nilitie moto kuna uwezekano wa kukosa watoto wazuri
 
Back
Top Bottom