KAULI YA SINA HISIA NA WEWE INAMLIZA

KAULI YA SINA HISIA NA WEWE INAMLIZA

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,180
Reaction score
3,118
Habari zenu mahala hapa.

Huku kwetu si salama sana,ndugu yangu ana hali mbaya sana msaada tafadhali .

Twende kwenye mada.Nina rafiki yangu ambaye kiukweli naweza muita ndugu yangu au pacha kama tunavyoitana.

Mwishoni mwa mwaka jana tulirudi nyumban kusherekea christmass na mwaka mpya,rafiki yangu akaanzisha mahusiano na binti mmoja wa mtaani hapo hapo ila kiumri tulimzidi.(kwakweli tulivyokaacha na sasa ni hatari tupu).kwa bahati nzuri huyo binti nae anaishi dar ambako rafiki yangu anaishi.

Kwakweli penzi lilikua moto na kule nyumbani walitambulishana kwa ndugu na marafiki japo sio rasmi.badae likizo ikaisha na wote tukarud dar huku penzi lao likiwa fresh kabisa

Miezi yote hiyo hakukua na tatizo.ila mwanzoni mwa mwezi huu Binti alipata safari ya kwenda iringa kwa shangazi yake.kabla hajaenda ikabidi apite kwa mshikaji kisha aendelee na safari.

Alikaa kwa mshikaji siku tatu kisha akaendelea na safari.baada ya kufika huko sasa ndipo ndugu yangu alipopata shambulio la gafla.

Binti akamtumia ujumbe ndugu yangu kuwa alipokaa kwake siku tatu ndugu zake walijua hivyo wamemsema sana na yeye kaamua ni bora avunje mahusiano.

Baada ya kumbembeleza kwamba asimuache ila waliweke sawa hili suala.ndipo binti akamwambia KWA SASA NMECHOKA SIWEZI KUENDELEA NA WEWE PIA KWA SASA SINA HISIA NA WEWE.

jamaa yangu leo ni siku ya tatu anashinda ndani ,akitoka analewa .nmejaribu kuongea na binti kakaza ,dada yake na mshikaji kaongea na binti bado kamkazia .maajabu ni kwamba kila muda binti simu jamaa.juzi binti karudi dar na jamaa ikabidi akaongee nae face to face lakin wapi.binti anasisitiza kuwa anampenda jamaaa na anaumia kumuacha lakini moyo wake hauwezi kuendelea na jamaa.hiyo siku waliogea hadi binti analia lkn hatengui maamuzi yake.

Wana MMU tafadhali nipeni mbinu nikamsaidie ndugu yangu maana hali yake sio nzuri .
 
Kama ilikuwa ndio mara yake yakwanza kukaa nae Muda mrefu yaani siku 3 inaonyesha jamaa yako Hana ushawishi pindi wanapokuwa wawili yawezekana jamaa hajui kubembeleza, Hana maneno matamu ambayo yangemfanya bint avutike kuwa najamaa mda mwingi ila kubwa kuliko yote jamaa yako yawezekana ila sina hakika AJUI KUDINYA YAANI AJUI KUCHOCHEA KUNI KWENYE MAFIGA
 
Huyo kapata jamaa mwngne....mshikaji its time to move on with life...mm niliwah achwa namna kama hyo,my life was a mess for sometimes but nilijiapiza sitajiingiza kwenye tabia hatarishi kama kunywa mipombe n.k....mwaka mmoja ukapita na saiv nmempata binti mmoja mrembo kulko yule wa awali na maisha yanasonga polepole...hata ikitokea huyu akaniacha I move on.....be in love with someone who is proud to have u....
 
Kwa namna jamaa alivyotumia nguvu nyingi kumshawishi mrembo warudiane na kwa namna mrembo anazidi kushikilia misimamo yake.Hapo binti kavimba kichwa sana,hata wakirudiana hayo mahusiano hayatakuwa na afya kama awali.Jamaa atakuwa mtumwa wa huyo mrembo.
 
Yani mapenzi ndo yakupe stress kiasi hicho,utadhan huyo Bint yupo mwenyewe tu duniani...Wanawake wamejaa tele tafuta anayekufaa....Kama mapenzi yanakusumbua achana nayo Fanya shughuli nyingine
 
Mhh kwahiyo hapa tunamsaidiaje hapa sasa
 
Dawa yake ni mimba tuu hakuna namna nyingine, wanaume na ujanja wetu otee unalizwa na msichana acha uzembe wew
Dah hata mimi sikutegemea kwa namna jamaa alivyo.madem hawakuwa wanamuwazisha kabisa ila hili hadi mm nmeshtuka .
 
Huyo kapata jamaa mwngne....mshikaji its time to move on with life...mm niliwah achwa namna kama hyo,my life was a mess for sometimes but nilijiapiza sitajiingiza kwenye tabia hatarishi kama kunywa mipombe n.k....mwaka mmoja ukapita na saiv nmempata binti mmoja mrembo kulko yule wa awali na maisha yanasonga polepole...hata ikitokea huyu akaniacha I move on.....be in love with someone who is proud to have u....
Hongera sana mzee.nimemshauri sana ajikaze lakin anafeli
 
Ashukuru kaambiwa ukweli kuliko angeendelea kudanganywa

Ukweli siku zote humweka mtu huru
 
Kwa namna jamaa alivyotumia nguvu nyingi kumshawishi mrembo warudiane na kwa namna mrembo anazidi kushikilia misimamo yake.Hapo binti kavimba kichwa sana,hata wakirudiana hayo mahusiano hayatakuwa na afya kama awali.Jamaa atakuwa mtumwa wa huyo mrembo.
Hata mimi naliona hili mkuu.lakin kwa sasa kinachotakiwa ni kumrudisha tu huyu binti
 
Huyo girl inaezekana karudiana na ex wake au alikua Ana cheat na jamaa mwngne na sahv kaona jamaa ni potential kuliko ww anahitaji kuwa serious nae..
Mapenz hayalazimishw kama girl kakukataa na umembembeleza kakukazia maana ake Ana uhakika na anachokifanya.

The best thing u can do is to move on, kunywa pombe hakutafanya girl arud rather kutakuongezea cost and u ruin ur life not hers.

After all , ikishatokea incidence kama hyo hata mrudiane hamtafit kama zaman girl atakua anajishtukia na ww utakua bado unakumbuka alokufanyia hamtafit trust me.
Inauma kuachwa lkn jikaze mtoto wa kiume utazoea taratibu taratibu mwisho utamsahau.
 
Yani mapenzi ndo yakupe stress kiasi hicho,utadhan huyo Bint yupo mwenyewe tu duniani...Wanawake wamejaa tele tafuta anayekufaa....Kama mapenzi yanakusumbua achana nayo Fanya shughuli nyingine
N rahisi sana hata mimi nilikua nawaza kama wewe.ila katika hili hata mm nmeanza kuyaogopa
 
Back
Top Bottom