Faithfulness
New Member
- Sep 28, 2018
- 2
- 0
Hi wana jf, najitokeza Kwa mara Ya kwanza kutafuta mke wakuoa kupitia jukwaa hili la Jf. Samahani Kwa nitao wakwanza kuandika bandiko langu. Jamani mke anapatikana popote hata kupitia humu nipo sahihi.
Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa, nina umri wa miaka 34,Elimu yangu ni stashahada (diploma) dini mkristu, kazi self employed. Mke nimtakaye Awe na miaka 25 nakuendelea, Awe hajawahi kuolewa na kuachika, Awe anatokea mkoa wa katavi ,hataka Kama yupo mkoa mwingine. Elimu na Kazi alionayo ni mipango ya Mungu akiwa amesoma ama hana kazi haina shida ila Awe ni mwenyeji mkoa husika. Kwa aliye tyr Karibu pm