Kuna wanawake usiombe uachane nao!

Kuna wanawake usiombe uachane nao!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Yaani kuna mademu Fulani hivi wana nuksi kama zote ukiachana nae utakataliwa hadi na kina nandy sijui ndio huwa inakuwa radhi ama nini!
Yaani kila ukitongoza unapigwa chini hadi nuksi ikiisha umeshapata tabu sana![emoji23]
Ushauri tu Team kiumeni "Usiache mwanamke kama haujapata mwingine"
 
Mkuu unajua wanaume wengi huwa tunaacha kwa bifu Mara kutukanana mara kupigana au unalala na best ake so wanawake wanakuwa na manung'uniko rohoni mwao na mioyoni mwao na kujuta kukujua pia kukuombea mabaya so kufanikiwa inakuwa vigumu ni bora tu uwe committed kama umeamua kuwa na mtu flan
 
Mkuu Mara nyingi huwa tunakimbia mizinga!unakuta kila unapozidi kutatua na mizinga ndio inaongezeka ukubwa[emoji23]
 
Hapo Mungu muelewa mkuu uhakika maombi ya huyo mwanamke yatapita pembeni.....Mimi nikiona imeamza mizinga nipo radhi kubadilisha namba kwaajili ya mtu mmoja
 
Mkuu unajua wanaume wengi huwa tunaacha kwa bifu Mara kutukanana mara kupigana au unalala na best ake so wanawake wanakuwa na manung'uniko rohoni mwao na mioyoni mwao na kujuta kukujua pia kukuombea mabaya so kufanikiwa inakuwa vigumu ni bora tu uwe committed kama umeamua kuwa na mtu flan
Bora uwe committed?Hiyo ni nadharia zaidi,nadhani anataka kitu practical
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom