Tuhadithie siku ambayo uliumbuka kwenye game.

Tuhadithie siku ambayo uliumbuka kwenye game.

kufanakupona

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
522
Reaction score
425
Mambo vipi?
Ni kawaida kwa mwanaume kushindwa kufanya tendo la ndoa kutokana na sababu kama kuwa na pupa, kwenda kufanya tendo la ndoa wakati unajijua kabisa leo sina mzuka, maumbile ya mwanamke n.k.

Leo tuhadithiane jinsi ulivyopeteza pointi 3 kunako 6x6. Naanza mimi:
"Ilikuwa ndiyo nabalehe, sikuwahi hata kujua nyuchi ya mwanamke ipoje, nikakutana na mtoto Chiku wa jirani mtaa wa pili, piga saundi mtoto kakubali, tukapanga tukutane saa 1 jioni. Tumekutana, mtoto kasaula kila kitu kazi ikawa kwangu, kwa sababu nilikuwa mgeni wa haya mambo, kila nikiingiza nikawa nagusa pengine kabisa, kila nikiingiza naambulia patupu. Kama dakika 15 mtoto baada ya kuona sieleweki ninapoingiza, akanisukuma kwa nguvu halafu huyo akatokomea zake, akaachia bonge la sonyo, nikajua hapa nimeumbuka mtu mzima. Niliwaza sana".

Aibu nyingine iliyonikuta ni miaka ya mbele sana baada ya kuwa mzoefu na wanawake:

"Kesho tumeahidiana tukagaregare na mchumba, halafu leo nimeserebuka mpaka basi na mchumba mwingine, kwenda kesho nikamalizane na mchumba tuliyeahidiana, kila nikifosi kitu kiinuke, wapi!, kitu kinaniangalia tu, hakitaki kusimama wala nini, kila nikifosi, wapi!, nikaona hapa nimeumbuka leo mtu nzima"

Ila siku za mbele nikaja kusawazisha makosa kwa watoto wote wawili hapo juu, mpaka leo heshima.
Tupe mikasa yako Mkuu, ilikuwaje?
 
Demu alipata kifafa katikati ya game...nikashangaa mara anang'ang'ania shuka,mara ananikaba...basi mimi ndo kubadili mapigo sasa!nikaja kushtuka ananing'ata sikio!nikasema yes utamu njoo.Mara akaanza kutoa muungurumo kama nguruwe huku amekodoa macho na meno kayabana!hapo ndo nikajua mapenzi hamna pale...chumba kilikuwa kidogo ghafla.
 
Hapo hukupata aibu wala fedheha, ulimkuna kisawasawa mpaka akazidiwa na kifafa juu.
Lete stori nyingine ya kuaibika.
 
imebidi nije na ID tofauti kabisa kuficha aibu aise
mimi kwa mara ya kwanza nilipiga mzigo bhana kumwaga tuu c mzigo ukalala nilijua nimepata ulemavu kabisa na kujisepea nikilia baadae nashangaa mjama anarudi kwenye msimamo wake aise nilichukua muda sana mpaka kufarijiwa kuwa ni kawaida
 
ukireply kwenye uzi please reply factual aibu hii aibu yako haiko kwenye kiwango
 
Hapo hukupata aibu wala fedheha, ulimkuna kisawasawa mpaka akazidiwa na kifafa juu.
Lete stori nyingine ya kuaibika.
Hiyo yenyewe aibu tosha nilimtelekeza geto si unajua uoga wa ki-teenager?shangazi ndo alimtoa room asubuhi me nililala kwa mchizi.
 
imebidi nije na ID tofauti kabisa kuficha aibu aise
mimi kwa mara ya kwanza nilipiga mzigo bhana kumwaga tuu c mzigo ukalala nilijua nimepata ulemavu kabisa na kujisepea nikilia baadae nashangaa mjama anarudi kwenye msimamo wake aise nilichukua muda sana mpaka kufarijiwa kuwa ni kawaida
Mwanaume kuaibika wakati wa tendo la ndoa ni kawaida, kila mwanaume aliyekamilika lazima aibike katika maisha yake kwenye tendo la ndoa, kila mwanaume ameshawahi kuaibika kunako 6x6, wengi wanajikaza kisabuni tu wanaogopa kusema.
Kwa bahati mbaya vijana wengi wakati wa kukua kuelekea utu uzima, mabadiliko ya sehemu za siri tunayachukulia kama kilema au udhaifu, kumbe ndiyo tunaelekea kwenye ukamilifu wenyewe.
 
Back
Top Bottom