hivi kwanini binadamu hatujapewa la ya mbwa!?

hivi kwanini binadamu hatujapewa la ya mbwa!?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Hivi kwanini binadamu hatujapewa mapenzi kama walionayo mbwa? hapa duniani hakuna mnyama mwenye mapenzi ya kweli kama mbwa. kama binadamu tungepewa mapenzi kama ya mbwa Dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi.
 
Naona ubinadamu umekushinda unatamani kuishi kama mnyama sasa
Ndo umemchagua mbwa 'roll modal' wako.?
Si bora hata ungemchagua njiwa kama ishu ni mapenzi
 
Hivi mbwa wana mapenzi ya kweli kuliko sisi? Yupo mtu naye alitamani kuwa mbwa kabisa akajisemea " Being a human is way too stressful, having to worry about my future and my life, and that is why I wish I was a dog."
Mimi naona hivi hivi Tulivyo ndiyo imempendeza Mungu tuwe hivi.
 
Mbna hujashangaa binadamu kupewa akili kubwaz kuwazid viumbe wote?
Tatizo binadam tunaangalia madhaifu yetu badala ya uimara/strength zetu.
 
Hivi kwanini binadamu hatujapewa mapenzi kama walionayo mbwa? hapa duniani hakuna mnyama mwenye mapenzi ya kweli kama mbwa. kama binadamu tungepewa mapenzi kama ya mbwa Dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi.
.
IMG-20180921-WA0013.jpg
 
hatuna mapenzi ya mbwa nani kasema? binadamu wanayo mapenzi hayo hata dog style ni ya mbwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom