Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,764
Lol!! Nimesikitika sana
Siku hizi hapa Bongo kuna wimbi la vijana wanaooa na kuolewa
Na katika maandalizi yao ya harusi utasikia wanataka michango kiwango ni elfu 50 kwa single na 70 au laki kwa double
Mtu unajipinda kumchangia Jamaa ukiend a kwenye sherehe unaambulia juice ya buku 3 au soda ya jero
Huu si uungwana wewe hata kama unajifanya MTU wa Dini na umetaka michango basi andaa shughuli yako pasipo kuleta mtazamo wa Dini na dhambi kwa mungu,umechangiwa hela basi weka vinywaji vyote watu wafurahie sherehe yako.
Kama wewe MTU wa Dini sana basi huna haja ya kuchangisha funga ndoa kimya kimya mkalale sio kila MTU ni mnywaji wa sayona juice.