Hata kama

Hata kama

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Sio penyewe ila nimeamua kupost humu mtakoma leo jogoo anachinjwa
Screenshot_20180929-190526.jpg
 
Kuna mrembo humu naona unamringishia,
Hongera
 
Mbona hela ndogo hivyo?
Siku nyingine uwe unaweka dau kubwa ukipiga umepiga kweli.
Ila at your own risk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hela ndogo hivyo?
Siku nyingine uwe unaweka dau kubwa ukipiga umepiga kweli.
Ila at your own risk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mno huwa unaweka mpunga nini.
..angeweka hata buku 5 angekuwa mbali
 
Jamaa muoga kuliko hata mimi.
Kajichukulia apo hela ya vocha[emoji23]
Mbona hela ndogo hivyo?
Siku nyingine uwe unaweka dau kubwa ukipiga umepiga kweli.
Ila at your own risk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha 1500 nyie ndo wale wakina KANJUNJU mnabet pesa ya mtaji
 
yn dkk ya 88 ya sub player imekukosesha pesa ya mtaji, daaa noma sana yn.
 
Back
Top Bottom