English course

English course

Nkonzi JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
324
Reaction score
195
Habari
Nipo dar Maeneo ya Tabata samahani wadau ni wapi naweza jifunza English ya kuongea iwe ndani ya wiki 3-4 msaada wadau
 
nenda British council ila ujipange mfukoni
 
Cha kawaidaa naitaji kujua mkuu huko kufanya nini mm nataka cha hapa cha kuongea na wachina naona wananiponda sanaaa
 
ndani ya mwezi? bila shaka utaenda kukaririsha self introduction
 
Mkuu vip unatataka ya hostel au day

Maaana kuna watu hata driving school wanakaa hostel sasa tuanzie hapo kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom