Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Gentlemen: msaada plz kwa mliowahi kukumbana na case Kama hizi mliziamua vipi??? Nampenda ananipenda ila anaogopa tunaishia kulaliana tu juu juu ila hakuna kinachofanyika sasa Mimi mwanaume...
1 Reactions
136 Replies
12K Views
Habari za week end wana jamvi naomba ushauri wenu kabla sijafanya jambo LA kuishangaza dunia na walimwengu Leo nimetua jiji LA Dar ikabidi ni mtafute mchepuko wangu wa long time ili tujikumbushe...
1 Reactions
54 Replies
3K Views
Salaam Kuna baadhi ya watu wanalifanya hili bila kujua au wanajua lakini wanakosa jinsi mwanamke anapokua na mimba iwe ni yako au sio yako inahesabika muda mfupi ujao atajifungua mtoto, either wa...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari za muda huu wakuu.. Nikiwa kwenye tafakari ya mambo mbalimbali ya kijamii na pilika za huku na kule kuna hili suala la kuwa na mtu sahihi iwe kwenye mahusiano ama kwenye ndoa. Kwa mtazamo...
12 Reactions
457 Replies
32K Views
Sina mengi ua kusema ila miezi 7 iliyopita nilipgiwa simu na mama yangu mzazi akiniambia maneno mazito na magumu sana nimeyabeba lakini naona yananishinda nawaza saana , naumia sana maneno yenyewe...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Helloh jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana nina Girlfriend wangu ninampenda Sana,ila changamoto niliyinayo kwa Sasa,ni mwaka wa pili umepita tangu alipoenda kusoma nje ya...
1 Reactions
176 Replies
12K Views
Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani akitembea bila aibu USIOE. Ukiona mschana anaujasiri wa kuvaa nguo ya kubana sana halafu anaenda bila aibu barabarani USIOE...
66 Reactions
251 Replies
36K Views
Ndugu wana jf naamin mpo salama.moja kwa moja kweny mada. Mwaka 2015 mwishon nlikutana na mdada nkamweĺew san nkamwambia nia yng ya kumgegeda akanzngua ila bdae akaelew tkawa wapenz .tukapendana...
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Kila mmoja wetu ameshawahi kusiki kuwa mtu fulani anamuoa/olea na mwingine kwa madai kuwa wanapendana au anampenda huyo anaeingia nae kwenye ndoa,madai haya yapo na huenda hata wewe unafikiri...
9 Reactions
77 Replies
9K Views
We have 7.8 Billion people on this planet earth. Women = 5.6 Billion Men = 2.2 Billion So, you see my sister think twice before giving attitudes to any man because out of the 2.2 Billion men: >...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nawapa kwanza onyo wa kule instagram maswala ya kucopy mabandiko ya watu na kwenda kupost kwenye page zao bila kutoa credit ya muanzilishi watakuja kuoteshwa shipa, Nilitoa hii mada hapa chini...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Maisha ni safari ndefu kuna wakati unaweza kupotezana na mtu na usijue pa kumpata. Dunia kwa sasa ni kijiji na Jamiiforums ni kama mtaa kiteknolojia Kwa kutumia Uzi huu,mtafute ndugu,jamaa au...
4 Reactions
154 Replies
13K Views
Wasalaam! Uzi huu haulengi kuwadhalilisha wanawake hata kdg bali kuwatahadharisha wanaume kutowachukulia wanawake hasa wake zao kimchezomchezo! Hivi karibuni ninamajirani ambao mume na mke na wana...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Nilipotangaza kwenye jukwaa hili kuwa nimepata mtoto wa kinyarwanda, mwenye umbo namba 8, wengi walitoa ushauri wao. Kusema kweli nilifaidi sana kutoka kwa mtoto huyo wa kinyarwanda. Mahaba yake...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwanamke yeyote Hana tabia rasmi ilaa inategemea wewe utamchukuliajee... Ukimchukulia Mshika dini bhasi ndio Sura atakayokuonesha.. Ukimchukulia MTU wa kumtumia tu bhasi utamtumia utakavyo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu kama kichwa kisemavyo naenda straight to the point mie nataka ambiwa jinsi ya ku deal na alpha females.... kwa wale wasio jua maana ya alpha females ni wale wanawake ambao wana sifa za...
6 Reactions
114 Replies
12K Views
Wakuu nipo njia panda maana imekuwa kazi ngumu kwangu. Kukutana na wanawake wa namna hii Mwanamke ambaye anauwezo wakutoa maoni yake na kuyasimamia pale yanapo pingwa.. Mwanamke anaye fikisha...
19 Reactions
236 Replies
16K Views
Mimi Ni mfanyabiashara na pia ni wakala wa mitandao ya simu....kusajili laini na pia masuala ya mobile money Nilipoweka hela zangu kwenye hii biashara niifanyayo niliapa kuwa serious hasa kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari brother n sisters! Emu tuambieni nimeona threads kadhaa za wadada ambao ni ma sidechick wakionesha kuwa hilo kwao si jambo la kustaajabu! Mbali Na hilo mm binafs Huwa nina kipindi cha...
3 Reactions
84 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…