rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Mwanamke yeyote Hana tabia rasmi ilaa inategemea wewe utamchukuliajee...
Ukimchukulia Mshika dini bhasi ndio Sura atakayokuonesha..
Ukimchukulia MTU wa kumtumia tu bhasi utamtumia utakavyo...
Ukimchukulia kuwa ni mtu wa kupenda out na kumhonga bhasi atakuonesha sura ya Kupenda pesa na out...! Japo asilimie kubwa wanapenda pesa.
Ndo maana wewe anaweza kwambia tusubiri mpaka ndo Umlee ilaa kuna jamaa anamlaa kila anapotakaa...
So kuwa makini unavyomtreat mwanamke unapoanza kudate nae..maana ndio sura atakayokuonesha!