Kwanini wanawake wasioolewa wako tayari kuwa sidechicks?

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
Habari brother n sisters!

Emu tuambieni nimeona threads kadhaa za wadada ambao ni ma sidechick wakionesha kuwa hilo kwao si jambo la kustaajabu!

Mbali Na hilo mm binafs Huwa nina kipindi cha maswala ya mahusiano radio Moja mkoani na nimekua nikitafutwa Na wadada mbalimbal kwa ushaur wa maswala hayo ya mahusiano lakin cha ajabu wengi tena mabinti wa miaka 21+ wengine wanavyuo Na wafanyakaz pia hasa manesi wamekua wakitoka Na wanaume za watu..

Labda tujadili kipi kipo behind raha ya kuwa na mwanaume wa mtu ni nn? swali kwa wadada.

Kwa mawazo yangu wanawake weng ndo wanatoka Na wanaume wa watu kulko wanaume kutok Na wake za watu.
 
Aiseee kumbe mbona mtaani wapo ila bize na maisha huku wanavunga kumbe
Follow you're way
 
Na kwanini wanaume mtafte side chick hapo stop blaming women laumu wote tu isingekuwa wanaume kuonja onja ma side chick wasingekuwepo, pia walioa/ olewa na wao ndo wana michepuko tu, so haijalishi kuwa single au lah!
 
Hafu ukitoka na mume wa mtu anajielewa wako vzuri kila sector hakubani bani pia ni mtu aliyetulia tofauti na vijana wabahili hafu wanakupanga wanawake kwa wingi. So waume za watu wana kiasi pia ni safe tofauti na kijana
 
Mmmmmh
 
About future? How unadhan utalast na mume wa mtu? Coz unajua in the end utarud to square one wkt mume wa mtu ataenselea na mke wake...
I think wadada mjijengee uwezo wa kusema No.
 
Hafu ukitoka na mume wa mtu anajielewa wako vzuri kila sector hakubani bani pia ni mtu aliyetulia tofauti na vijana wabahili hafu wanakupanga wanawake kwa wingi. So waume za watu wana kiasi pia ni safe tofauti na kijana
Wewe ni "wale wale.. "

Endelea kutumika kwa manufaa ya muda mfupi

Wadada ifike mahali muweze kusema "no" la sivyo mtaendelea kuita wanaume mbwa
 
Hafu ukitoka na mume wa mtu anajielewa wako vzuri kila sector hakubani bani pia ni mtu aliyetulia tofauti na vijana wabahili hafu wanakupanga wanawake kwa wingi. So waume za watu wana kiasi pia ni safe tofauti na kijana

Hongera sana
 
Hahaha, we umeongea ukweli
 
Hafu ukitoka na mume wa mtu anajielewa wako vzuri kila sector hakubani bani pia ni mtu aliyetulia tofauti na vijana wabahili hafu wanakupanga wanawake kwa wingi. So waume za watu wana kiasi pia ni safe tofauti na kijana
Huyu kaona ile thread ya Iron jana na yeye kaja kuanzisha.

Mjibuni kua kwenye mahusiano mwanamke anakomaa haraka kiakili kuliko mwanaume ndomana anejielewa hawezi date na hata anelingana nae
 
Hafu ukitoka na mume wa mtu anajielewa wako vzuri kila sector hakubani bani pia ni mtu aliyetulia tofauti na vijana wabahili hafu wanakupanga wanawake kwa wingi. So waume za watu wana kiasi pia ni safe tofauti na kijana
kazi kweli kweli
 
hahaa like seriously ""?

Wewe siku moja kitegee sikio mkuu utagundua bora ata tbc. Yaani kituo kimezeeka wambura mtani anaendesha vipindi kama vinne hivi tofauti tofauti kabisa, sasa hapo unategemea nini

Kipindi kinaitwa 'lugha gongano' mara kingine ni taarabu za kusutana na kinaendeshwa na kijan wakiume ana suta kishamba shamba na ni siku za wiki around saa tano asubuhi hiv. Hapo unategemea nin?

Ni bora ata kusikiliza Tiiiibiiiisiii (in shaban kisu's voice)
 
daaahh masikini RFA .... nilikuwa na ielewa mno mwanzoni mwa miaka. ya 2000s .... hahaa mtangazaji mmoja ana host vipindi zaidi ya vi3 ... kweli RFA itakuwa ICU
 
Miaka ya 2000s ilikua mbali san ila sijui inekuja kuwaje.

Wambura mtani ana host, je huu n uungwana, lugha gongano na kipind kingine ata sikijui jina ata nkipata ili jina nita update hapa
 
Back
Top Bottom