BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Mimi Ni mfanyabiashara na pia ni wakala wa mitandao ya simu....kusajili laini na pia masuala ya mobile money
Nilipoweka hela zangu kwenye hii biashara niifanyayo niliapa kuwa serious hasa kwenye mikopo ya bidhaa na watu kutozoea biashara
Lakini sasa nimeanza kubadiika tofauti n zamani mpaka nashangaa
1.Mtu akikaa na hela yngu zaidi ya siku moja...!!inaniuma saaana
2.hela kutumia nje ya matumizi ya biashara mbali na chakula...limekuw gumu sana kwangu..najiulizaga sana kutumia hela nje ya chakula na biashara
3.mtu akileta ishu za kukopa bidhaa moyo hushtuka na hua sitoi....maybe n kwa mtu anayelipa siku hyo hyo....ikizid siku hyo navunja mkopo kwake
4.kuhonga ndo kabisa....biashara inakua na wadada ndo wanajileta kwa wingi...!!lakini kwakweli nimekua mgumu...!!
5.nimekuwa mtu wa mahesabu mno...kama kuna safari naweza kuahirisha....sababu ikiwa n muda na hela ntakazopoteza kwa kufunga biashara
6.kwangu hela imekuwa na thamani mno tofauti n zamani...!!mpaka 50 kwang n kubwa....!!rafiki yngu aliwah kushangaa kuniona nkimkazia dem sh 50.
Na kwakweli nashukuru Mungu maendeleo nayaona...!!ila hii tabia nahc inazidi kukua...!!naomba kujua hii n tabia ya aina gn?...na je ina madhara kwangu???