Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
0 Reactions
170 Replies
18K Views
Habari wanajamvi. Miaka ya nyuma nilijipaga matumaini kuwa watu wanaomwabudu MUNGU ni safi kumbe wapi kenge nao wamo. Sisemi kwamba ni wote ila wachache watoe/exception. Sijui ni utoto au akili...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Asallam/aleykum kwa waislam na Bwana Yesu asifiwe. Kaka zangu kwanza msinielewe vibaya lakini napenda kuwauliza mnajifikiriaje mnapotumia maneno ya kukera kwa kinadada ambao ni kama dadazenu au...
13 Reactions
106 Replies
15K Views
Habari za majukumu Mfano Gody amemuoa anastela, alafu mtoto wa mama yake mkubwa Gody (wakiume) yaani kaka yake Gody nae akaja kumuoa dada yake anastela (tumbo moja baba na mama mmoja). Swali...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Wakuu, kama mnakumbuka, nilishapandisha uzi hapa jukwaani kueleza kuwa natafuta mke namba mbili. Nilitoa vigezo ktk uzi huu Ninatafuta mke wa pili. - JamiiForums. Niliwapa fursa wana jf walio...
9 Reactions
83 Replies
6K Views
Kuna mengi huletwa humu jamvini ya kuwalalamikia, kuwaponda na hata kulaani WAKE zetu. Siandiki hapa kupinga hayo, ila najua wapo WAKE wengi wazuri na wanalinda na kutunza ndoa zao na familia...
19 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi. Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo...
7 Reactions
128 Replies
8K Views
Kama mko makini hasa hasa ME mtakubaliana namimi jamani wanawake kwenye awamu hii wanaomba hela sio mchezo. Mtu unamtongoza leo asubuhi hata mzigo hujapewa kufikia jioni baby naomba hela nikanunue...
7 Reactions
151 Replies
11K Views
habarii za Asubuhii..Jamani loneliness is killing my soul.naomba mtu ambae anahitaji friendship itakayozaa mema hapo baadae tuwasiliane but am HIV POSITIVE na sioni tofauti wala shida ,,nipo...
9 Reactions
60 Replies
8K Views
Ndugu waendesha magari wenzangu. Nimejitahidi na nimejaribu mara nyingi sana kurenew leseni yangu ya kuendesha magari makubwa kama trela au semi trela ila naona nimeshindwa. Haya magari makubwa...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Let me entertain you today Behaviourist
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari wadada wa jf Mimi ni mwanaume wa 30yrs.Ninaishi dar ni mwajiriwa,kipato cha wastani. NB.kama kichwa cha habari kinavyojieleza,natafuta mwenza/mke ambaye atakuwa tayari tuoane na kuanzisha...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
- Mimi ni kijana wa miaka 30. - Sijaoa - Nimeajiriwa na nina kazi nzuri tu. - Natafuta binti / demu wa atakayekuwa girl friend wangu. - Sina masharti yoyote: anaweza kuwa mweupe, mweusi, mrefu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara nyingi inapotokea mzazi anaona kwa namna moja au nyingine mwenendo wa kijana wake haupo sawa huwa wana kauli zao. Mimi binafsi nilikuwa sijatulia kabisa kwa kupenda totoz, mama hakuniacha...
7 Reactions
201 Replies
19K Views
Well, nilitengana na mzazi mwenzangu muda kama miaka 5 iliyopita sasa ni marafiki tu. baada ya hapo sijawaha na mahusiano rasmi sana ila sijagegedana nina zaidi ya miaka 2 na nipo fine tu...
4 Reactions
143 Replies
19K Views
Wana JF habari zenu! Hii mada inawahusu wanaume ambao diyo wanaonekana kama waanzisha ndoa. Je, ni muhimu au lazima kuoa pindi tu utakapopata ajira? Nauliza hivi kwa kuwa wanaume wengi ambao bado...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za jumapili wanajf wenzangu Mimi ni kijana wa miaka 30, nilipata utata pale nilipomaliza elimu kwani bibi yangu mzaa mama aliniita kijijini Nilipofika tu bibi aliniambia mjukuu wangu pole...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wapendwa maisha yanaenda na umri pia. Humu sioni kama kunamtu wakuonekana nope. Humu watu hawapo ambao wapo serious wengi ni wanamatani na pia wameshachoka vitu vingi sana. Nimeweka moyo na muda...
4 Reactions
138 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…