Tumejengewa na jamii kuwa ni jambo la kawaida kwa wanaume kuchepuka ama kuwa na wanawake nje ya ndoa pamoja na haka kamsemo "mwanaume kaumbiwa tamaa"
naomba ladies wenzangu tuambiane ukweli juu...
Ukiangalia na kila nikipita wanaume wengi sana wavivu kununua chupi na soksi au kubadilisha,yaani jitu linatoka na soksi tofauti au imetoboka au chupi chafu na kweli nyie wakina dada semeni ukweli.
Eti wadau, hivi demu ambaye hautokinae kimapenzi wala hujawahi kumtongoza ila ni watu tu mnaofahamiana mnawasiliana , kuchati kupitia simu na hali ya kuwa mwanamume unakuwa kipaumbele kumsabahi...
Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali, kuna wanaosema zinawasha, zinapunguza ladha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi.
Hatukatai basi kama hilo ni...
Mimi ni kijana umri miaka 24, elimu ni digrii moja ya uchumi; Kazi ni mwajiriwa na mfanyabiashara.
Ninaishi dar maeneo ya Morocco natafuta mwanamke anayejielewa kuhusu maisha/mtafutaji /life...
Salam kwenu wanaJF natumai mko fresh kabisa.
Niende straight to the point nmekuwa nikipata malalamiko kutoka kwa watu wa jinsia zote kati ya me na ke kuilalamikia jinsia nyingine kwa kuongoza...
Wakuu habari zenu? leo kwenye group flani hivi la Whatsap tumebishana Sana kuhusu ndoa ni nini? na imeandikwa wapi kwenye Biblia hii ikafanya mpaka wadadisi wakajaribu ku Google ili kupata jibu...
Ndugu wana jf km kawaida yangu Leo Niko off napiga supu ya dagaa hapa beach..
Nimetafakari Changamoto za wake2 kwangu binafsi
1. Wake zangu nawapenda wote ila wao hawapendani uwa haipiti mwezi...
Habari wadau, naombeni msaada wa ushauri jinsi ya kum convince huyu mrembo, maana nateseka sana, Muda mwingi tupo pamoja na mavazi yake ni yamitego sana, akivaa sketi basi inakuwa ni fupi sana...
Hasa wanawake ......
Unakuta umezaa na mwanamke kwa bahati nzuri au mbaya hamkufanikiwa kufikisha lengo la kuoana ...sasa shida inakuja pale mwanaume uliye zaa nae anataka kuoa mwanamke mwingine...
Helow everyone,hope ur doing great,Am SSJ living in Dar..Am searching for a girl who is Rwandese by descent but living in dar right now..Her age should range(18-22) and having the following traits...
Kama kichwa kinavyo jieleza uku mtaani kuna mtoto nimetokea kumuelewa sana yani ni mwaka sasa kila siku nasema tu ntamfuata kesho.
Kinachofanya nishindwe kumfuata ni kwamba muda mwingi yupo...
“Kuua mke ni ushamba mkubwa kwani kuoa ni mkataba kati ya mume na mke na kama mke ameamua kuingiza njemba (mwanamume) ndani ya nyumba wakati mume hayupo, huko ni kuvunja mkataba na dawa yake ni...
Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu...
Dah! Leo nimepita mitaa fulani uswazi nimekuta bonge la mtafaruku, jamaa kamfumania mkewe anatafunwa kwenye nyumba ya jirani yake.
Cha ajabu mwenye mke alidai alipwe laki 4 ya fumanizi yaishe...
Baadhi ya mambo ambayo watu wengi huyawaza na kuyahofia sana na kujikuta wengi wanapata tatizo la magonjwa ya akili ni haya;
1. Magomvi ya familia na ndoa zisizo na furaha
2. Kutoelewana na...
Wanawake wa Tanzania ni wa ajabu saana yaani mwanamke ukimtongoza tuu anabadilika anakuwa yatima muda Huo Huo
Mwanamke atakuambia sijala,sina nguo mpya,simu nataka nibadili na kma amepanga mpaka...