Swali: Hivi mabikra wanapataga hamu ya kufanya mapenzi?

Swali hili lina nipa shaka na jinsia ya mtoa mada
Au mtoa mada alinyanaswa kijinsia akiwa mdogo sana (jambo ambalo sidhani)

Kwa mtoto wa kike si anakumbuka yeye alivo kuwa bikira alijiskiaje?
Hehe Bro naona umeamua kunifahamu njoo inbox nitakupa website yangu ukaniangalie vizuri Acha kelele wenzio wote wananifahamh
 
Hahahaha! Aisee, kama ulitolewa ukiwa mkubwa utakumbuka vizuri, ila kama ulikuwa la pili A huwezi kumbuka chochote
Hahahahaha nimefurahi kukufahamu
Asante kunisaidia jibu
Mimi was vidudu A sikumbuki kitu
 
Sijapiga kelele nimetoa mawazo ki upole kabsa.
Na wala sijaomba kumfaham mtoa mada, na sitaki kumfaham.

Ila kilicho andikwa hapa kinatoa concern kama nilizo zisema.
Nenda kanishtaki kwa mkuu mpelekee concerns zako zote maam
 
Swali hili lina nipa shaka na jinsia ya mtoa mada
Au mtoa mada alinyanyaswa kijinsia akiwa mdogo sana (jambo ambalo sidhani)

Kwa mtoto wa kike si anakumbuka yeye alivo kuwa bikira alijiskiaje?
Kuna wanawake walianza mapenzi wakiwa wadogo sana na maranyingi utoaji bikra wa uswahiliini huwa unakua katika hali ya ubakaji,mleta mada atakua alitolewa akiwa mdogo sana tena kwa kufanyiwa mbako.
 
Back
Top Bottom