Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wadau WAZOEFu huyu demu tulikuwa nae miaka ya 2012 nikaachana nae baada ya kunibania papuch . Nikaamua kuachana nae kabisa mpaka namba zake nikafuta kisha nikabadili line hivyo sikuwa NA...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Sikupendi… (hmmmm) Sikupendi… (aaaahh) Sikupendi… (eeeehh) Sikupendi (Max Maixer) Sikupendi Kichwa wanipasua.., Unanichapa fimbo Moyoni napata tabu, Unajishaua unamalingo Kama una sura ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu nyote Wanajopo wa jf mlio ndani ya ndoa na wale ambao katika sehemu ya maisha yao walipata wasaa wa kufunga ndoa na kuishi kwenye ndoa kabla ya kuachana, tunaomba mtumegee siri ya...
4 Reactions
330 Replies
24K Views
Miaka ya zamani na hata sasa,kuna familia ama koo ama jamii ambazo bado zinaendeleza utaratibu huo wa shuka analolalia bibi harusi mara baada ya harusi kufungwa ili kujua kama ni BIKRA, ina maana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati jana nikiwa nimelala mida ya saa 7 simu yangu ikaita ile kucheki ni namba ngeni nikaamua kukausha.Ikaita kwa mara nyingine nikaamua nipokee aisee nilikutana na sauti tamu ya mtoto mzuri...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Huwa najiuliza sana kuusu ili lakini bado nabaki njia panda sipati majibu. Hivi wanawake ususani wasichana wa siku hizi kwa nini mnapokutana na mwanaume mkatongozana na kuafikiana kuwa wapenzi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman umr ukifka umefika natafta bint awe na umr kuanzia miaka 19-23 awe mcha mungu na awe na sifa zote za mwanamke anafaa kutuza family yake anicheck kwa no 0628239703 napatikana SIMIYU itapendeza
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Natanguliza salamu wana jf wenzangu Mimi ni radio presenter wa radio kubwa kwa huku kwetu na nimekua famous kwa sababu hii kazi kua maarufu ni kawaida.. kupitia hili nimekua nikila videmu na mara...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Hawa jamaa Nasikia Wanajiandaa kwenda Kumshtaki Makonda pale Ofisi za Umoja Wa Ulaya - Posta. Hakika wanatudhalilisha wanaume wenzao wapewe khadhabu gani hawa watu....?.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo tunageuza shilingi upande wa pili kuelezea madhara ya kuruka ukuta (kufanya ngono kinyume cha maumbile a.k.a kua Amber Rutty ). Wanaume wengi walinilaumu na kuniona sitendi haki kwa...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakubwa na wadogo Kwenye mahusiano kuna changamoto nyingi tunakutana nazo ambazo zingine zinavumilika lakini zingine hazivumiliki kutegemeana na ukubwa wa tatizo. Wewe dada au kaka...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Habari za leo wanaJamiiForums? Mama Mkwe wangu anaomba nimkopeshe laki tano kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yake. Samahani sana mwenye ujuzi wa kudai ukweni anipe njinsi ya kudai ukweni kabla...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Semeni ukweli
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Napenda kuwakumbusha wale mnaojifanya wataalamu wa kuzibua mitaro, endapo ukashtakiwa na kukutwa na hatia basi adhabu yake ni miaka 30 au kifungo cha maisha. Kama utazibua mtaro kwa hiari...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Nina kisa cha dada mmoja mwanafunzi wa Masters Dodoma, alikuwa bar mara akafika mshkaji raia wa Nigeria akamsalimia ile kusalimiwa dada akajibu kwa bonge la tabasamu kuonyesha amevutiwa na salamu...
15 Reactions
74 Replies
8K Views
Kipindi cha nyuma kidogo nilienda mkoa mmoja hivi kikazi. Huko kazini nilikutana na mzee mmoja ambaye nae alitoka mkoa mwingine kuja kufanya kazi huko. Mzee alikuwa anakaa guest ikabidi na mimi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari za Muda huu ! Nimekuwa nikifikiria sana Kuhusiana na Haya Mahusiano Kwa Sisi Vijana ambao hivi karibuni tunatarajia kuingia katika Ndoa Hivi karibuni Sasa tatizo linakuja Kwa hawa...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu ku-cheat. Binafsi sababu hii ndo ilinisababishia ... alikuwa kila muda ananiambia kauli hii hadi ikazoeleka na mwisho nikaifanyia kazi "Kama unataka kuoa...
5 Reactions
91 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…