Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Najua ndo kwaaanzaa Jumatatu tena bado asubuhi ila Mahaba kwa Kasie hayajawahi kupoa.
Ukisikia kikohozi ndani yake kina Mahaba basi hili ni Kohozi acha nikohoe kwanguvu......
KOOH KOOH KOOOH .... msinipe kofta tafadhali kesho ya December ndo dawa ya hiki kikohozi hehehehehhee
Bado unakoroga machale hujaweza kuingia dots. ...
Basi jiwimbo hapo chini linaonesha tukio zima kuhusu Kasie na mpelekaji... nasubiri kupelekwa kwa mama mie lOoh..... hehehehhee na uzee huu hahahhhaaa ati nashikwa mkono kama mtoto... twende Kasie. ....
Asante Dai kwa wimbo wa kusindikiza Mahaba yangu.
Kasinde Mahabat.