Mtoto wangu Profesa anadondoka sana

Mtoto wangu Profesa anadondoka sana

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Naombeni ushauri namshukuru mungu mwanangu anatembea siku hizi,changamoto ni kwamba akitembea haangalii mbele anadondoka ovyo,anajigonga hovyo ana makovu kila mahali. Nifanyeje ?maana kumbeba muda wote kazito kweli 12 kg sio mchezo.
 
eleza umri then tutafsiri hizo kg, kama mtoto ni over weight huwa tunaanzaia hapo
 
mwambie akafundishe chuo aache ujinga wa kudondoka hovyo.
hlf hizo kg 12 akianguka kwa kitanda lzm avunje chaga.
 
Naombeni ushauri namshukuru mungu mwanangu anatembea siku hizi,changamoto ni kwamba akitembea haangalii mbele anadondoka ovyo,anajigonga hovyo ana makovu kila mahali. Nifanyeje ?maana kumbeba muda wote kazito kweli 12 kg sio mchezo.
Hivi kumbe ulikuja pata wa kuzaa naye?
Ni wa lini huyu dogo?
 
Mtoto mwingine anapoanza kutembea anakuwa na hamu ya kutembea hivyo anaposimama anatembea haraka haraka bila kuangalia mbele anataka kukimbia, anahisi miguu ni mepesi hivyo inampelekea kuanguka. Pia sababu nyingine yawezekana miguu yake bado haijakaza
 
Miss Natafuta huyo mtoto sio karithi chura ya wewe mama yake ikawa inamzidi uzito anadondoka?

Pili angalia ndani kwako huna kilevi chochote buwenda akawa anajiiba iba humuoni si unajua ameshaanza kutembea.

Kisha kama umempandikiza ungejafibu kuuliza huwenda baba yake mwenye hizo manii ana kifafa.

Alafu mtoto wa mwaka mmoja anaazaje kutembea bhana,huyo ana kiherehere tu wenzie kuanzia miaka mitatu ndo wanaanza.
 
Hizo kilo 12 peke yake ni sababu namba moja..
 
Naombeni ushauri namshukuru mungu mwanangu anatembea siku hizi,changamoto ni kwamba akitembea haangalii mbele anadondoka ovyo,anajigonga hovyo ana makovu kila mahali. Nifanyeje ?maana kumbeba muda wote kazito kweli 12 kg sio mchezo.
Bikra imeshatolewa kumbe
 
Miss usiogope ana hamu tu ya kutembea..! Atakuwa sawa, wakwangu hakujua kutembea taratibu ni mbio tu km kuruta wa JKT.
Hakikisha hajigongigongi sana sehemu ambazo zipo karibu nae! Mfano unahisi amekiona kiti hatua moja mbele then anasimama na kuanza
Mbio..hali hiyo inaweza ashiria ulemavu wa macho!)
 
Back
Top Bottom