nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
jamaa anafunga viatu yeye keshaanza kuziba mdomo akidhani anaambiwa HONEY WILL YOU PLEASE MARRY ME?
ulishaona wazungu wakiwa wana msuprise mwanamke kumuomba amuoe? huwa wanapiga goti na kutoa ile pete sasa reaction ya mwanamke ni kama huyo dada hapo kwenye pichahata mi sijaelewa
Mwanaume alipiga goti moja ili akaze kamba za viatu vyake, huyo mdada aliyembele yake akadhani jamaa anataka amfanyie suprise ya kumvisha pete.Sijaelewa unataka kusema nini hapa.