Miaka 26 na nilivyowaelewa Wanawake.

Miaka 26 na nilivyowaelewa Wanawake.

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
535
Katika umri huu nimekwisha kuwa na wasichana na wamama kadhaa....
Nimejifunza haya toka kwa hawa viumbe
1-Wale wa miaka 0-30 almost 80% ni wasumbufu sana hawajui wanataka nini

2-Wanawake ni watu wakujutia maamuzi yao daima kwasababu huendeshwa na hisia sana kiliko akili.

3-Kwao mwanaume si mwanaume ila awe anakitu
 
Mpaka sasa sijawahi fahamu wanawake wanataka nini.. 😀 nadhani kuna mengi alidaganywa na yule nyoka sisi tunashindwa kuyatambua.. 😁
 
Back
Top Bottom