Mshituko wa kuachwa moyoni umeleta nyufa

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,647
Reaction score
4,495
Kadri mishale ya sekunde dakika na saa inavyozidi kuyoyoma.. Uku mboni za macho yangu zikibaki kuwa shuhuda.. Jinsi watu wema wanavyotoweka kwa kasi ya kuogopesha Kwenye uso wa dunia.. Wakiwa ndani ya bus liitwalo mauti.. Ndipo ubongo wangu unapozidisha chuki na neno kifo. ''

Huu ni mwaka wa 10 nipo Kwenye uwanja wa vita.. Vita ambayo naipigana ili kuulazimisha ubongo wangu ukusahau.. Lakini ubongo hautaki kabisa kutii nachouambia..

Kila napokumbuka zile nyakati tamu zenye Furaha.. Nyakati zilizotengeneza tabasamu Kwenye nyuso zetu tukiwa pamoja... Nashindwa kuzuia machozi YASIMWAGIKE KWENYE MBONI ZA MACHO YANGU. ''..Hii ndio sababu yakulipa mgongo kaburi lako.''

Leo nashika pen kuziandika hizi tenzi.. kwaajili ya David rafiki yangu ninamuenzi.. Yeye hakufa kwa ngoma yalimuua mapenzi.. Bila hiyana demu wake alimchana bayana..

Tumefanya kila ambacho wapenzi wanapaswa kufanya.. Jipya silioni mimi nawewe tumeachana.. Hata husireply hewani sitopatikana.''.. Hii sms ndio ilikuwa source ya kifo Cha mwana.''

Kwaajili ya mawazo.. Mwana alikonda kupita mgonjwa wa ngoma.. Binti aliyempenda gizani alikula kona.. Binti alimtenda baada ya kwenda chuo dodoma...Nikawa namfariji kaza jembe utapona.. Akawa anajibu kwa khali hii unavyoniona..

Inno jua pilau si chakula cha msukule.. Kupona mi sahau unafanya kazi bure.. Ata umlishe amira, nzi hawezi kuwa ngamia.. Leo nimeloose dira sioni faida ya dunia..

Mshituko wa kuachwa moyoni umeleta nyufa.. Dunia ninaiacha mimi ni mtu wa kufa.. Na nina kufa sababu akili inawaza kufa..

Akawa analia hadi fahamu zinakata.. Zikimrudia anaita mwanangu pasta. Leo mimi nakufa, nakufa kifo cha kizembe.. Yananiua mapenzi heri Ingekuwa ngwengwe... Ila kifo changu iwe fundisho kwenu majembe..''

Mimi nakufa ili nyie mpate jifunza.. Ufupi wa mapenzi ya vijana ni kama maisha ya funza.. November 28 usiku wa saa 8.. Usingizini mwanangu akaenda.... Tutameet juu kwa baba I believe one day.''
 
Alikunywa sumu au aliuwawa kwa uchngu/ maumivu.
 
Touching
 
Cpati picha huyo dada alijisikiaje na ana hali gani kwa sasa
 
Pole mkuu
IMG_20171029_170435.jpeg
 
Back
Top Bottom