Latifaa
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 501
- 259
Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi nikasahau shida zangu. sishauri watu kumzimikia mtu mmoja ni hatari sana bora ukae mguu pande kwakweli