Mwanaume kukimbia familia yako!

Mwanaume kukimbia familia yako!

Mind your own business.. Au nenda kalee hiyo Familia Aliyoikimbia
 
Hivi kama wewe ni mwanaume kweli kweli(sio wa Dar)utakimbiaje familia yako kwa kigezo cha kwenda kutafuta maisha?huo ni umama!
Mwanaume wa kweli anakimbia Moto,bomu, mamba na wala sio mimba.Nukta
mama umekimbiwa???
 
Hayajakukuta wawe mvulana wa mkoani, mke umepewa na wazazi wako huko kijijini tuache sisi tulioingia misituni kuwatafuta
 
Hivi kama wewe ni mwanaume kweli kweli(sio wa Dar)utakimbiaje familia yako kwa kigezo cha kwenda kutafuta maisha?huo ni umama!
Mwanaume wa kweli anakimbia Moto,bomu, mamba na wala sio mimba.Nukta
Wanaume wa mikoani ndio wanaongoza kwa kukimbia familia zao kwa visingizio vya kwenda kutafuta maisha Dar.
 
Kwani wewe unajua nisababu gani inayo mfanya mwanaume aikimbie familia?
 
Ukimsikia mwanaume anaikimbia familia yake si kweli kuwa anaikimbia anamkibia mkewe ujue kuna jambo hapo ndani, huenda mke ana kera au ni msumbufu sana sana sana na huenda ameshamshauri hadi basi tena sasa hapo anaona aanzishe gemu sasa ili isiwe taabu anaamua kuishia kwakutoa sababu kuwa anaenda kutafuta maisha huo ndio ukweli usio fichika.
Hivi kama wewe ni mwanaume kweli kweli(sio wa Dar)utakimbiaje familia yako kwa kigezo cha kwenda kutafuta maisha?huo ni umama!
Mwanaume wa kweli anakimbia Moto,bomu, mamba na wala sio mimba.Nukta
 
Ukimsikia mwanaume anaikimbia familia yake si kweli kuwa anaikimbia anamkibia mkewe ujue kuna jambo hapo ndani, huenda mke ana kera au ni msumbufu sana sana sana na huenda ameshamshauri hadi basi tena sasa hapo anaona aanzishe gemu sasa ili isiwe taabu anaamua kuishia kwakutoa sababu kuwa anaenda kutafuta maisha huo ndio ukweli usio fichika.




Wewe naona hujui baadhi ya wanaume wana akili za kuanua wanakimbia familia kisa maisha hayaendi. Punguzeni kuwatwika wanawake makosa yasiyowahusu bhana.
 
Familia ni taasisi ngumu kuliko zote dunian, kikubwa kuomba muongozo wa muumba
 
Wewe naona hujui baadhi ya wanaume wana akili za kuanua wanakimbia familia kisa maisha hayaendi. Punguzeni kuwatwika wanawake makosa yasiyowahusu bhana.
wanawake unawajua vizuri, ni wachache sana ambao utasema tusiwatwike, hata upande wa wanaume wana makosa yao pia
 
Back
Top Bottom