Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Narudia tena , huwezi juwa na akili timamu ukaenda nunua wanawake wanaojiuza wale wanawake wamechoka sana, wengi wamekata tamaa na maisha, na wengine hawapendi kamwe wanachokifanya acha kabisa...
6 Reactions
28 Replies
8K Views
Wakuu leo kabla ya kwenda Ibadani nimelazimika kubadiri chandarua na mashuka, lakini nimepata taabu sana kutandika kutokana na usumbufu wa chandarua kama picha inavyoonekana. Najua vijana ambao...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya...
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Habari za asubuhi. Wahenga walishasemaga... Ni kosa kubwa kukosea kuoa. Heri ukose kitu kingine kuliko kukosea kupata mwenza. Sasa kwa wale tulokwisha kukosea Ni nji gani tutumie kuweka maisha...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Mi muislam,umri now Ni 40,natafuta MCHUMBA alie TAYARI aje pm! Mabingwa wa kukosoa hasa wanaume mnaweza kupita tu kimya kimya maana Kuna wakatisha tamaa humu kujifanya mnajua kiiiila kitu,nahitaji...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu leo kabla ya kwenda Ibadani nimelazimika kubadiri chandarua na mashuka, lakini nimepata taabu sana kutandika kutokana na usumbufu wa chandarua kama picha inavyoonekana. Najua vijana ambao...
0 Reactions
3 Replies
784 Views
Niseme tu kwanini najihisi sina furaha kwenye maisha ? MSAADA PLZ
1 Reactions
26 Replies
5K Views
It is sensational feeling.. Mnapokuwa wawili pekee yenu kule kwenye vichaka vya wafu... Kale kaubaridi ka makaburini na zile hisia za uoga.... N then I embrace you.. Feeling protected under my...
7 Reactions
31 Replies
5K Views
Sehemu ya 01; ...Naitwa Amina, ila wengi wamezoea kuniita "Mina wa Ukae" kutokana na kujulikana sana kujijini kwetu,nimezaliwa na kukulia Marangu Moshi,nimeishi na wazazi Wangu pamoja na mdogo...
6 Reactions
31 Replies
194K Views
Wakuu kwema? Wakazi wa Sinza wa miaka ya 2009 kurudi nyuma mtakuwa mnakumbuka uwepo wa lodge matata sana iliyofahamika kwa jina la Elizabeth Inn Lodge, iliyopo maeneo ya Kijiweni karibu kabisa na...
0 Reactions
90 Replies
19K Views
Kuna uzi nilitaka kuweka hapa wa mahaba, wimbo na yaliyomo yangekuwa maneno ya wimbo wenyewe. Sijui kwanini ila nimejikuta nimebadili gia angani. Na uzi huu ulikuwa mahsusi kwa Dadii. Kichwa cha...
6 Reactions
86 Replies
5K Views
Wakuu salaam, Ni takribani wiki saba sasa tangu niingie kwenye uhusiano na uyu binti wa kisukuma, Kinachonishangaza kwake ni tabia yake ya kujisahaulisha at least kitu kimoja kila akija gheto...
5 Reactions
111 Replies
14K Views
Mke wa mtu sumu ukiambiwa uwe unakubari ewe bachera sugu. Jana nilipigiwa simu na mchepuko wangu " njoo home jamaa kaenda Zanzibar" Kijana nikala karanga mixer mihogo vipande vya nazi ...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Kipengele chenyewe ni " Kama Mume ukija Harusini na Mkeo halafu wakati wa Kucheza muziki wale Wanaume Mabachela wa Kutukuka ( TEAM NO KUOA DAIMA ) kama akina GENTAMYCINE akija Kukuomba acheze na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Binafsi yangu hadi sasa ndani ya mwaka huu nimefanikiwa kumtia mimba binti wa watu na kunizalia mtoto wa kiume hilo nashukuru Mwaka huu nimeonja kulala selo na kulipa hela nyingi kumaliza kesi...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, hope mko poa.. Naomba niwafikishie taarifa hii, juu ya thread hiyo ambayo nliandika tarehe 14 Nov km ckosei... Thread ilipokelewa kibinadamu ....maana yake kulkua na majbu ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa anachonitenda mume wangu nachelea kusema wazi kuwa ni vigumu sana kwa wanaume kuurithi ufalme wa mbingu,tumetoka nae mbali,leo ameamua kunifanyia hivi,jamani naomba ushauri wenu kabla...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakubwa zangu Heshima kwenu, Mimi kijana wenu nimejikuta nikiwa kwenye hali ngumu saana ambayo nadhani sijawahi kukutana nayo kabla, ni baada ya kuangukia kwenye penzi zito na Binti mmoja akiwa...
5 Reactions
171 Replies
14K Views
Kwanza kabisa nitoe salamu kwa wale wote watakaosoma hii post. Habari zenu mumeamka vyema? Wajameni mnaonaje hili suala la mapenzi ya jinsia moja???? Nisawa au si sawa kwa maana mimi naona sio...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari wanajamvi? Ukifuatilia kwa makini fumanizi nyingi zinazotokea mjini, utakuta aliefumaniwa ni mke wa jamaa bonge bonge na ana kitambi cha utapiamlo. Sasa ukiwa bonge kuna shida gani haswa...
7 Reactions
66 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…