Wa mama mnahitaji pongezi

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Wakuu leo kabla ya kwenda Ibadani nimelazimika kubadiri chandarua na mashuka, lakini nimepata taabu sana kutandika kutokana na usumbufu wa chandarua kama picha inavyoonekana.

Najua vijana ambao hamjaoa apa mtatoka kapa lakini pia na wanaume kulala msiopenda kufanya kazi za nyumbani mtashangaa.

Nikajikuta nawashangaa wamama wanavyofanya kazi za nyumbani kwa haraka na unadhifu.
Nawapongeza sana na Mungu awabariki.
IMG_20181202_084039_043.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom