Elizabeth Lodge ya Sinza, bado ipo?

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Wakuu kwema?

Wakazi wa Sinza wa miaka ya 2009 kurudi nyuma mtakuwa mnakumbuka uwepo wa lodge matata sana iliyofahamika kwa jina la Elizabeth Inn Lodge, iliyopo maeneo ya Kijiweni karibu kabisa na hoteli maarufu ya Lion Hotel.

Lodge hiyo ilipata umaarufu kutokana na kugubikwa na starehe za mujini kwa kwenda mbele.

Ulabu, Ngono (Danguro) na hata uuzwaji wa kaya vilikuwa ni miongoni mwa vivutio viliyoifanya lodge hii kupata mahudhurio ya kutosha kutoka kwa wadau wa mambo hayo..

Wasanii wenye majina makubwa kama vile Mangwea (RIP) na team yake, Mheshimiwa Mbunge (jina kapuni) na wasanii kadha wa kadha walikuwa ni miongoni mwa watu walioweka kambi mara nyingi sana hasa nyakati za jioni.

M 2 the P naye ni mmoja wa wasanii wanaotajwa kudumu kwenye lodge hiyo kwa kipindi kirefu ambapo inadaiwa yeye alifikia hatua ya kuwa mpangaji wa kudumu (sijui kama anaishi hadi sasa au ashahama).

Sasa kwa muda mrefu sana siko Dar, ningependa kujua kama bado ipo au imebaki historia tu?
 
Ukifika reception unaonyeshwa picha,Yule utakae mpenda unapelekwa chumbani Alipo.duh!!
 
Ipo sinza maeneo gani wakuu hebu nielekezeni au ndio ile ua kumekucha opposite na kanisa unashuka na hiyo road ?? ile imefungwa
 
Manake nini???QUOTE="Gojaga Nize, post: 15350041, member: 298402"]Ni hatari sana kukumbuka maovu kuliko kukumbuka mema[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom