Mbinu mpya wanayoitumia wadada kusaka ndoa kwa nguvu

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
650
534
Wakuu salaam,

Ni takribani wiki saba sasa tangu niingie kwenye uhusiano na uyu binti wa kisukuma,

Kinachonishangaza kwake ni tabia yake ya kujisahaulisha at least kitu kimoja kila akija gheto.

Mchezo wake ulianza ivi.....
Siku ya kwanza alikuja na chupi 2, moja
akaifua kisha akaiacha bafuni, nyingine akaivaa asubuhi, akasepa...

Siku ya 2 alikuja usiku akiwa amevaa khanga,.,asubuhi akaifua na kuianika nyuma ya mlango kisha akapita ivi.

Siku ya 3 akajisaulisha pete na hereni juu ya meza yangu, nilipokuwa namsindikiza njiani akaniambia
'Baby utanitunzi nimesahau hereni
zangu mezani'

Siku ya 4 akaja na nguo 2 na vipedo vya
kubadilisha na viatu pea 2, akavua high heels na kuziweka kwenye Shoe rack,asubuhi akaondoka na
flat shoes kwenda kwao.

Baada ya mwezi gheto zima limeajaa vitu vyake na ukizingatia chumba chenyewe kidogo nashindwa ata kuleta totozi nyingine maana zitaona vitu vya kike kwangu na iwe msala.

Sa ivi naona anajiandaa kuja na begi kabisa kwangu kisha baada ya mda aniambie 'Honey I miss my days' Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed
Calls, Siku hizi kuna Missed days,.......kitakachofuatia apo mi mwenyewe sijui
 
Hivi kwanini wanaume huwa hatupo comfortable mdada anapoleta vitu kwako? Unless uniambie wewe ni mpigaji tu yani wapo wengi unaogopa kugonganisha. Lakini kama mtu umemuelewa na una mpango wa kuwa nae kwa muda mrefu muache alete hata kitanda maana haikuzuii wewe siku ukichoka kuwa nae ukamtimua akabeba vitu vyake akasepa. Mtu upo nae kila siku analala kwako lazima aje na nguo za kubadilisha. Pia suala la ujauzito wewe mwanaume ndio mhusika mkuu usitegemee bidada awe makini na siku zake wewe unashindilia mikwaju tu. Kama vipi zana zipo jifunze kutumia wakati wote.
 
Hio michezo ni hatari sana..
Na hii technique mpya ya madem inabidi iingizwe kwenye syllabus ili wanaume tuweze kupambana nayo.

Unakuta manzi anaanza mdogo mdogo mwisho wa siku anahamia kwako mazima.

Cha kufanya foji safari ya kikazi ya week mbili hivi iwe ya ghafra uondoke unwambie nguo zake umemuachia kwa jirani yako aende kuchukue..
Baada ya hizo week 2 unatafuta sababu ya kuachana tu
 
Mwanamke huna mpango nae unampeleka kwako wa nini?ndomana mnalogwa:D:D
 
Wakuu salaam,

Ni takribani wiki saba sasa tangu niingie kwenye uhusiano na uyu binti wa kisukuma,

Kinachonishangaza kwake ni tabia yake ya kujisahaulisha at least kitu kimoja kila akija gheto.

Mchezo wake ulianza ivi.....
Siku ya kwanza alikuja na chupi 2, moja
akaifua kisha akaiacha bafuni, nyingine akaivaa asubuhi, akasepa...

Siku ya 2 alikuja usiku akiwa amevaa khanga,.,asubuhi akaifua na kuianika nyuma ya mlango kisha akapita ivi.

Siku ya 3 akajisaulisha pete na hereni juu ya meza yangu, nilipokuwa namsindikiza njiani akaniambia
'Baby utanitunzi nimesahau hereni
zangu mezani'

Siku ya 4 akaja na nguo 2 na vipedo vya
kubadilisha na viatu pea 2, akavua high heels na kuziweka kwenye Shoe rack,asubuhi akaondoka na
flat shoes kwenda kwao.

Baada ya mwezi gheto zima limeajaa vitu vyake na ukizingatia chumba chenyewe kidogo nashindwa ata kuleta totozi nyingine maana zitaona vitu vya kike kwangu na iwe msala.

Sa ivi naona anajiandaa kuja na begi kabisa kwangu kisha baada ya mda aniambie 'Honey I miss my days' Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed
Calls, Siku hizi kuna Missed days,.......kitakachofuatia apo mi mwenyewe sijui

View attachment 944127

Kama ni huyu mwache tu asahau vitu vyake kwako....atakusaidia hapo baadaye.
 
Kwani akiwa tayari kwa ndoa ndo lazima umuoe??what if ww haupo tayari?
Way usimwoe while your single same as her,
Anajarabu kukuonesha uhutaji wake .
Mwanamke kama huyo yupo tayari kwa ndoa.
Angaza baadhi ya tabia na mienendo yako ukijiridhisha ipo vyema mwoe.
 
Ts obvious jamaa ni mpigaji si umeona hapo anasema ameshindwa kuleta totoz

Back
Top Bottom