NAJIHISI SINA FURAHA KWA UJUMLA

NAJIHISI SINA FURAHA KWA UJUMLA

Polee sana Mkuu!

Lazima kuna sababu zinazokufanya usiwe na furaha!ungefunguka kidogo ili watu wajue namna ya kukushauri!
 
1.Kuwa karibu na watu wenyefuraha

2.Jiweke bize tafuta hobbies na vitu vya kufanya baada ya kazi

3.Samehe yalopita,jisamehe,omba msamaha kwa ulowakosea.

4.Fanya yoga,meditation.

5.Jichanganye maeneo yenye shangwe

6.Kuwa karibu na watu suportive.
 
Badili mazingira kwa kusafiri mbali kidogo na eneo ulipo
 
1.Kuwa karibu na watu wenyefuraha

2.Jiweke bize tafuta hobbies na vitu vya kufanya baada ya kazi

3.Samehe yalopita,jisamehe,omba msamaha kwa ulowakosea.

4.Fanya yoga,meditation.

5.Jichanganye maeneo yenye shangwe

6.Kuwa karibu na watu suportive.
Niko kwenye hali kama ya jamaa

Nitafuata huu ushauri
 
Ushauri mzuri mno
 
Niko kwenye hali kama ya jamaa

Nitafuata huu ushauri

Pole mkuu,kila mmoja wetu hupitia kipindi kigumu wakati fulani katika maisha,hicho kipindi kigumu chaweza kukujenga ama kukubomoa inategemeana na jinsi utavyo react.mi pia nimepita vipindi vigumu sana toka nikiwa mtoto mpaka sasa na nikajifunza namna ya kudeal navyo na haya ndio baadhi ya nlojifunza.

1.Matatizo hayaishi katika maisha,haijalishi uwe na hela ama huna,uwe mwema ama mwovu,uwe unastahili ama hustahili,uwe mkubwa ama mdogo utakumbana na nayo tu,hivyo yakikukuta usihuzinike sana,usijichukulie unagundu(hata kama unalo),usiulize kwanini mimi.jua ni sehemu ya maisha.

2.Furaha inatokana na kuridhika, kuamua ndani ya nafsi yako, kuzijua na kuthamini neema ulizo nazo hata kama ni chache na kuwa na matumaini.Kuwa na furaha ama kutokuwa nayo hakusababishwi na wingi ama uchache wa matatizo/changamoto zinazokukabili.

3.Ninapopata na tatizo natumia nguvu nyingi kwenye kutafuta utatuzi na kuepuka kutumia effort kwenye kusikitika,sababu kusikutika hakujawahi tatua tatizo langu lolote.Kweli Kuomboleza/kulia/kuhuzunika ni muhimu kwa afya kusaidia kutoa maumivu/dukuduku/sumu ndani ya moyo lakini sitakiwi kuzidisha/kulowea huko.

4.Kuzielewa hisia na jinsi ya kuzidhibiti.Hasira,furaha,chuki,huzuni,wivu.zote ni hisia,jifunze jinsi ya kuzicontrol zisikuendeshe.Meditation na tafakuri ya kina husaidia kwenye hili.

5.Katika maisha kikubwa pumzi tu vyengine vyooote vinatafutwa na umuhimu wake ni mdogo sana.Nimenusurika kufa na kuwa katika near death situations zaidi ya mara tano,ukiwa katika hali hyo unagundua kuwa vitu vingi tunavyojistress navyo sio muhimu kivileee.

6.Furaha inaambukizika.Ukijiona huna furaha jaribu kubadilisha mazingira na aina ya watu wanaokuzunguka,watu wasionafuraha na wanaokusababishia huzuni na karaha ni wakuepuka kama ukoma hata kama ni ndugu zako,stay away from toxic people and toxic enviroment.Kuna watu ukiwa nao karibu maisha yanakuwa murua,wanakujali,wanakupa moyo,wanakushauri na kukusaidia kama huna watu wa dizaini hyo watafute.

7.Funguka,kuwa na watu unaowaamini ambao unaweza waelezea matatizo yako hata kama hawatayasolve kukusikiliza tu,kukushauri na kukufariji inatosha.ukibaki nayo moyoni yatakutesa,hakikisha unashare kwa watu sahihi

8.Kisichoniua kitanikomaza kiaskari.chuma ili kiwe vizuri lazima kipitishwe kwenye moto mkali.

9.Usijali maneno ya wanaadamu,kuna watu wamebarikiwa maneno ya karaha,shombo,fitna,uchonganishi na ya kukatisha tamaa,ukiyasikiliz na ukaruhusu yakuumize utaisha kwa tabu sana,yache yaingilie skio la kushoto yatokee kulia,yapuuze na wapuuze wasemaji wake.

Mwisho mambo yakienda kombo yaache usiende nayo.

wasalam
 
Ahsante na ubarikiwe sana mkuu
Pole mkuu,kila mmoja wetu hupitia kipindi kigumu wakati fulani katika maisha,hicho kipindi kigumu chaweza kukujenga ama kukubomoa inategemeana na jinsi utavyo react.mi pia nimepiia vipindi vigumu sana toka nikiwa mtoto mpaka sasa na nikajifunza namna ya kudeal navyo na haya ndio baadhya nlojifunza.

1.Matatizo hayaishi katika maisha,haijalishi uwe na hela ama huna,uwe mwema ama mwovu,uwe unastahili ama hustahili,uwe mkubwa ama mdogo utakumbana na matatizo tu,hivyo yakikuta usihuzinike sana,usijichukulie unagundu(hata kama unalo),usiulize kwanini mimi.

2.Furaha inatokana na kuridhika, kuamua ndani ya nafsi yako kuzijua na kuthamini neema ulizo nazo hata kama ni chache na kuwa na matumaini.Kuwa na furaha ama kutokuwa nayo hakusababishwi na wingi ama uchache wa matatizo/changamoto zinazokukabili.

3.Ninapopata na tatizo natumia nguvu nyingi kwenye kutafuta utatuzi na kuepuka kutumia effort kwenye kusikitika,sababu kusikutika hakujawahi tatua tatizo langu lolote.Kweli Kuomboleza/kulia/kuhuzunika ni muhimu kwa afya kusaidia kutoa maumivu/dukuduku/sumu ndani ya moyo lakini sitakiwi kuzidisha/kulowea huko.

4.Kuzielewa hisia na jinsi ya kuzidhibiti.Hasira,furaha,chuki,huzuni,wivu.zote ni hisia,jifunze jinsi ya kuzicontrol zisikuendesha.Meditation na tafakuri ya kina husaidia kwenye hili.

5.Katika maisha kikubwa pumzi tu vyengine vyooote viatafutwa na umuhimu wake ni mdogo sana.Nimesurika kufa na kuwa katika near death situations zaidi ya mara tano,ukiwa katika hali hyo unagundua kuwa vitu vingi tunavyojistress navyo sio muhimu kivileee.

6.Furaha inaambukizika.Ukijiona huna furaha jaribu kubadilisha mazingira na aina ya watu wanaokuzunguka,watu wasionafuraha na wanaokusababishia huzuni na karaha ni wakuepuka kama ukoma hata kama ni ndugu zako,stay away from toxic people and enviroment.Kuna watu ukiwa nao karibu maisha yanakuwa murua,wanakujali,wanakupa moyo,wanakushauri na kukusaidia kama huna watu wa dizaini hyo watafute.

7.Funguka,kuwa na watu unaowaamini ambao unaweza waelezea matatizo yako hata kama hawatayasolve kukusikiliza tu,kukushauri na kukufariji inatosha.ukibaki nayo moyoni yatakutesa,hakikisha unashare kwa watu sahihi

8.Kisichonua kitanikomaza kiaskari.chuma ili kiwe vizuri lazima kipitishwe kwenye moto mkali.

Back
Top Bottom