Njia gani ya kutumia baada ya kukosea kuoa?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Habari za asubuhi.

Wahenga walishasemaga... Ni kosa kubwa kukosea kuoa. Heri ukose kitu kingine kuliko kukosea kupata mwenza.

Sasa kwa wale tulokwisha kukosea Ni nji gani tutumie kuweka maisha yawe sawa?

Nawakilisha.
 
Mzee mwenye kasumba zake.
 
Marekebisho yanategemea hatua mliyopo, kwa mfano raslimali mlizonazo, idadi ya watoto, changamoto mlizonazo, aina ya ndoa n.k
Ndoa ina miaka mitatu na miezi 8. Watoto wawili, maisha ya kawaida ya kulala na kuamka tu (maisha ya mtanzania wa kawaida asiye hata na baiskeli)
 
Back
Top Bottom