Hivi sisi tunakwama wapi kosa dogo tayari umesha achwa....wakati mzee unakuta ana watoto watatu nje na bado yuko na Bmkubwa.....sisi situnajiita ma gentleman????
That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Mi siwachi mwenzenu mie mchagaaa! Mambo ya kukaa na bwana, kukukaza akukaze shida mpelekee mzazi wako siweziiii. Nishazoea kuhudumiwa na mabwanaa tangu na tangu...
Habari wanajamvi?
Watu wengi wamekuwa wakijuliza kwa nini babu na bibi zetu waliishi ndani ya ndoa kwa kipingi kirefu na mara nyingi kifo ndicho kilichokuwa kikiwatenganisha? Jibu ni rahisi sana...
Kwanza kabisa shukarani ziwafikie wote wana JF, Nahitaji mchumba ambaye atakuwa mke miaka 2-3 ijayo.
Sifa zangu
>Umri 22 miaka
>Rangi Mweusi
>Kabila mkurya
>Elimu utaijua PM
>Usafi ulinishinda kwa...
Baada ya kuachana kwa muda mrefu ex wangu wa kitambo leo kanitambulisha bwana ake wa sasa ambaye amevuta ex wangu
nimeshangaa na sijajua lengo lake kwasababu nipo mbali kwa miaka mitano sasa na...
Utafiti mdogo unaonyesha kuwa
kuna vitu vya kimsingi ambavyo
wanawake wanaangalia na kama
hivyo vitakosekana basi mambo
huenda yasiwe mazuri katika
uhusiano wenu.
Mwanamke anataka awe...
Huku kuigaiga kumenitokea puani, ila ningejua mapema aisee ningechukua unga wa kutosha.
Imepita kama wiki mbili nipo kazini bandari nikakutana na mshikaji kaja kupakia. Zikaanza story za hapa na...
Natumaini hamjambo.
Mm ni mkaka sasa nahitaji mwenza/ mke anae jitambua na mwenyenia ya kuolewa, umri wangu kwa sasa ni 33 hivyo mke mtarajiwa awe na umri 24 to 28 yrs. Binafsi ni mkristo hivyo...
Wapendwa ebu tuambizane kdg, hamna mapenz mazito na yanayoitaj moyo kama haya(mwenzako yuko arush ww uko lindi)....n nani anawajibu wa kumtafuta mwenzie, kumjulia hali mwenzie....hivi ndio vitu...
Maisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana...
STORY-PENZI LA MSHUMAA
MTUNZI-FREDIRICK M.MZIRAY
SEHEMU YA 1
Malumbano yaliendelea kati ya Denis na wazazi wake pale nyumbani kwao.Mzee Mwamba na mkewe Bi Asma hawakutaka kabisa Denis amuoe...
Hallo....
Naombeni msaada jamani kwa wenye experience na hizi mambo,
Kufanya harusi ya kiislam nzuri na simple yenye watu 150 inaweza gharimu bei gani usawa huu
"Ye ndio Chombo ya fundi mi naitengeneza ,sina shaka kwenye spea mi namwaga fedha,ananifanya fanya nakesha huku nasaka saka mapesa ,sitaki apate tabu nami namdekeza, akinipa nacheza game huku...
Wanajamvi, Hube Someni;
Im a Recovering Sex Addict
Jennifer (not her real name), 36, lives in Miami. Although shes never touched drugs or alcohol, she has an addiction all the samesex...
Nipeni mbinu wana JF wenzangu leo nina mtihani wa kuwasiliana na mama mkwe ili nijue hali ya mwanangu,
Mama wa mtoto amesafiri kidogo na mtoto amemuacha ukweni mara moja ila atarudi kesho kutwa...
Ukisikia stori changudoa kapenda pozi zako anafanya juu chini anakuzalia na ma single mama wa namna hii anajiweza anamlea mtoto fresh tu bila uwoga.changudoa akikupenda anafanya lolote na hapo...
Habari wana jamii,
Ningependa leo tujifunze kitu rahisi tu katika mahusiano, huwa dada zetu wanapenda kufanya mambo kuwa magumu jambo linalopelekea kuingia katika mahusiano ya hovyo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.