Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,202
Nipeni mbinu wana JF wenzangu leo nina mtihani wa kuwasiliana na mama mkwe ili nijue hali ya mwanangu,
Mama wa mtoto amesafiri kidogo na mtoto amemuacha ukweni mara moja ila atarudi kesho kutwa tu,
Sasa leo nina mtihani wa kuwasiliana na mama mkwe nijue hali ya mtoto wangu pamoja na kumtumia hela kidogo ya matumizi,
Naanzaje sijui,
Huu ni mtihani kweli kweli
Nb:
Msiulize kwa nini nahofia ni kwamba huyu demu bado sijamtolea mahali wala kwenda kwao kujitambulisha ila baadhi ya ndugu zake wananijua kwa sababu tu nimezaa nae.