Ex wangu kanitambulisha kwa bwana wake mpya

Ex wangu kanitambulisha kwa bwana wake mpya

Chemagati

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
210
Reaction score
286
Baada ya kuachana kwa muda mrefu ex wangu wa kitambo leo kanitambulisha bwana ake wa sasa ambaye amevuta ex wangu
nimeshangaa na sijajua lengo lake kwasababu nipo mbali kwa miaka mitano sasa na mapenzi hakuna tena, je nini lengo lake?
 
Kuna X wangu mmoja nilimletea uzi humu,
Alikuwa fulu kunizingua na mchizi wake,
Nilicho mfanyiaa hata kaa asahau maishani mwake, kile kidonda sijui kitapona lini.

Nimetafuna mdogo wake na rafiki akee wa karibu sanaa.
Japo pesa imenitoka ila adabu kaipata na royo yangu imetuliaa.

Sitaki Ujinga.
 
We kiboko
 
anataka aone kama utamsifia kachagua bonge la handsome kuliko wewe au la?

ila kiufupi hapo anakulinganisha na bwana wake mpya
 
anataka aone kama utamsifia kachagua bonge la handsome kuliko wewe au la?

ila kiufupi hapo anakulinganisha na bwana wake mpya
Inawezekana bado hajanisahau but miaka mitano imepita toka tuwembali mbali
 
Sikuona sababu ya utambulisho coz tupo mbali kuanzia mikoa mpaka mahusiano
Amepagawa huyo " yaani muachane kipindi chote hicho halafu bado anakuletea hayo mapicha picha "

Ni wazi kwamba kuachana kwenu kulimuumiza sana "
 
Unaniangusha shee, embu muite m discuss ilo suala, mwambie aje mwenyewe, mambo ya ma ex hamtakiwi kujadili juu juu lazima mshauriane kwa kina
 
Hili wanaliweza wanaume wa Dar tu..yaani mwanaume unamsifia mwanaume mwenzako??? Dah ukapimwe Tezi dume
Nimemjibu kawaida na kumsifia jamaa yake coz mi nimesha move kitambo sana.
 
Back
Top Bottom